Natafuta mwalimu wa martial art

Nakushukuru kwa mwongozo mzuri, na nitaufanyia kazi ila suala la mwalimu ni mhimu sana kwangu
Mwalimu ndiyo kila kitu!
Ukipata mwalimu utapata mwongozo mzuri. Kwa sababu technique utakazofundishwa ni lazima mwalimu akuelekeze ni namna gani ya kuweza kuzitumia kwenye pambano halisi. Kwa namna hiyo ni lazima watu wawili muwepo ili uweze kuzitumia kivitendo na kiusahihi.

Lakini hilo ni kufundishwa! Sasa ni lazima upimwe ulichofundishwa kwenye pambano halisi unaweza kukitumia? Ukumbuke kwenye pambano halisi mtu haji kama mnavyofundishwa?! Mtu anakuja anavyojua yeye mwenyewe!

Sasa wewe kwa kupitia yale mafunzo apply utayatumia vipi! Sasa ukiwa na mwalimu atakuelekeza utishe wapi hapa ufanye nini! Ukitisha hapa ataingia huku ama na wewe utafanya hivi n.k
 
Asante
 
kama unataka Shotocan nenda ujiji huko kamuulizie Seif kavanga, na wenzie kina Mudi au Sheikh Maulid nadhani dojo lao liko jirani na gereji ya Saratoga
Ila kama unataka ngumi boxing nenda bangwe ukifika muulizie Issa au Juma, hao ni makocha na wawakilishi wa ngumi (ubondia) kigoma
 
Umri umeshaenda huo na hautaona faida wala manufaa ya huo mchezo, 😂😂😂chezo unahitaji kubinuka binuka

Umri umeenda utaweza kubinuka binuka ? Sijui, labda defensive art
 
Umri umeshaenda huo na hautaona faida wala manufaa ya huo mchezo, 😂😂😂chezo unahitaji kubinuka binuka

Nataka aliyepo kigoma ujiji manispaa, akiwa mbali itakuwa shida.
Weka mabango kwenye miti huko huko kigoma namba Yako ya simu na hitaji lako ,very simple and no headache, ama tembea na Bangor lako huko huko mwisho wa reli
 
Mkuu kwa dar ni wapi wanatoa hayo mafunzo kwa usahihi zaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…