Natafuta mwalimu wa martial art

Natafuta mwalimu wa martial art

Nakushukuru kwa mwongozo mzuri, na nitaufanyia kazi ila suala la mwalimu ni mhimu sana kwangu
Mwalimu ndiyo kila kitu!
Ukipata mwalimu utapata mwongozo mzuri. Kwa sababu technique utakazofundishwa ni lazima mwalimu akuelekeze ni namna gani ya kuweza kuzitumia kwenye pambano halisi. Kwa namna hiyo ni lazima watu wawili muwepo ili uweze kuzitumia kivitendo na kiusahihi.

Lakini hilo ni kufundishwa! Sasa ni lazima upimwe ulichofundishwa kwenye pambano halisi unaweza kukitumia? Ukumbuke kwenye pambano halisi mtu haji kama mnavyofundishwa?! Mtu anakuja anavyojua yeye mwenyewe!

Sasa wewe kwa kupitia yale mafunzo apply utayatumia vipi! Sasa ukiwa na mwalimu atakuelekeza utishe wapi hapa ufanye nini! Ukitisha hapa ataingia huku ama na wewe utafanya hivi n.k
 
Mwalimu ndiyo kila kitu!
Ukipata mwalimu utapata mwongozo mzuri. Kwa sababu technique utakazofundishwa ni lazima mwalimu akuelekeze ni namna gani ya kuweza kuzitumia kwenye pambano halisi. Kwa namna hiyo ni lazima watu wawili muwepo ili uweze kuzitumia kivitendo na kiusahihi.

Lakini hilo ni kufundishwa! Sasa ni lazima upimwe ulichofundishwa kwenye pambano halisi unaweza kukitumia? Ukumbuke kwenye pambano halisi mtu haji kama mnavyofundishwa?! Mtu anakuja anavyojua yeye mwenyewe!

Sasa wewe kwa kupitia yale mafunzo apply utayatumia vipi! Sasa ukiwa na mwalimu atakuelekeza utishe wapi hapa ufanye nini! Ukitisha hapa ataingia huku ama na wewe utafanya hivi
Asante
 
kama unataka Shotocan nenda ujiji huko kamuulizie Seif kavanga, na wenzie kina Mudi au Sheikh Maulid nadhani dojo lao liko jirani na gereji ya Saratoga
Ila kama unataka ngumi boxing nenda bangwe ukifika muulizie Issa au Juma, hao ni makocha na wawakilishi wa ngumi (ubondia) kigoma
 
Umri umeshaenda huo na hautaona faida wala manufaa ya huo mchezo, 😂😂😂chezo unahitaji kubinuka binuka

Habari, wakubwa mimi kijana wa kiume 31 miaka.

Naomba kwa mtu anayeweza kuwa mwalimu wangu wa ngumi, au kuniunganisha na mwalimu wa martial art, awe anapatikana manispaa ya kigoma ujiji.

Nilikuwa na ndoto hii kwa muda mrefu ila sikuweza kuitimiza ijapokuwa umri umeenda niko tayari kujifunza . Muda wangu ni kuanzia saa tisa na nusu jioni mpaka usiku na weekend.

Niko tayari kujifunza kwa nidhamu ya hali ya juu sana.
Umri umeenda utaweza kubinuka binuka ? Sijui, labda defensive art
 
Umri umeshaenda huo na hautaona faida wala manufaa ya huo mchezo, 😂😂😂chezo unahitaji kubinuka binuka

Nataka aliyepo kigoma ujiji manispaa, akiwa mbali itakuwa shida.
Weka mabango kwenye miti huko huko kigoma namba Yako ya simu na hitaji lako ,very simple and no headache, ama tembea na Bangor lako huko huko mwisho wa reli
 
Ndugu yangu!

Ujifunze You tube tayari uwe na msingi wa kufahamu mambo yaani tayari uwe umeshajifunza. Kwa namna hiyo itakusaidia kupata baadhi ya technique.

Kwa sababu kuna mazoezi ya kuandaa viungo na kuvijengea uimara na uwepesi na umadhubuti.

Utafundishwa namna ya ngumi ukunje vipi na uirushe vipi na kwa uharaka au wepesi wa namna gani na nguvu ya ngumi inatokea wapi na kwa namna gani utaijenga.

Nguvu ya teke na linatokea wapi yaani kwa namna gani uukunje mguu na upige vipi! Na kwa kasi ya namna gani!

Hayo ni mfano mdogo tu ila kuna mengi!
Sasa kabla ya kufikia huko ni lazima mwili ujengwe kwa msingi mzuri wa mazoezi elekezi ya viungo.

Hata hayo mazoezi ili kuyahimili vizuri ni lazima muwekwe wawili ili ufahamu namna gani ya kuyatumia. Ikifika hatua fulani mnapambanishwa ili uonekane ulichofundishwa unajua kukitumia?!

Kwa ufupi na kwa haraka haraka inakuwa hivyo!
Mkuu kwa dar ni wapi wanatoa hayo mafunzo kwa usahihi zaidi?
 
Mazoezi ya awali Nampa Kazi ya kubeba mafurushi ya viatu 😁akifuzu ndo tuende next step
IMG_20240429_082837.JPG

Aanze mara moja
 
Back
Top Bottom