Ulinzi binafsi tuu.
Mtafute Sensei Dk. Philip Isidori Mpango au Sensei Zitto Zuberi Kabwe watakufundisha vyema tu Mkuu wangu nawaamini.Nataka aliyepo manispaa ya kigoma ujiji. Boss ndiyo nakopatikana.
Skills nyingi ambazo zinaongeza physical fitness ni nzuri sana, mda mwngn ni added advantage ya self defenseIla haya mafunzo n mazuri
Mkuu huwa unapanda ulingoni? Au hua unajifunza tuNenda gym za ngumi, uzuri wa ngumi ukijifunza haikutoki hata umri ukienda, mimi nilicheza Tae Kwon Do, Kenpo Karate na nyinginezo ila ubaya wake ukikawia muda bila mazoezi zinakutoka.
Lakini nilipoanza ngumi yaani boxing, naona niko poa miaka yote.
Nawish sana niyajue piaSkills nyingi ambazo zinaongeza physical fitness ni nzuri sana, mda mwngn ni added advantage ya self defense
Tena huyu yupo activeAnza na muuza madafu...
Muda na dedication tu, ila haya mambo Kuna mda inakupa confidence kuna kipindi tulikua tunapiga mazoezi yale ya mtaani tu nlitaka kupigana na kila mtuπNawish sana niyajue pia
π unajiona Jet li sio, ila kuna mazoezi yanaongeza kujiamini sana kwenye kila kitu.Muda na dedication tu, ila haya mambo Kuna mda inakupa confidence kuna kipindi tulikua tunapiga mazoezi yale ya mtaani tu nlitaka kupigana na kila mtuπ
Siku hz sifanyi mazoezi magumu nkiona huyu mtu tutafikishana pabaya naamua kupooza mpiraπ€£ ngumi iz not for everyoneπ unajiona Jet li sio, ila kuna mazoezi yanaongeza kujiamini sana kwenye kila kitu.
Nataka nianze boxing nijae kama konde boySiku hz sifanyi mazoezi magumu nkiona huyu mtu tutafikishana pabaya naamua kupooza mpiraπ€£ ngumi iz not for everyone
Piga zoezi kijana ntakua Manager wako πNataka nianze boxing nijae kama konde boy
Ukizingua nakupa moja nzito πPiga zoezi kijana ntakua Manager wako π
Ntakua na "na hapa ipo" ukizingua shaba inakuhusuUkizingua nakupa moja nzito π
Utoweza kuitoaNtakua na "na hapa ipo" ukizingua shaba inakuhusu
Mtafute Sensei adriz au Sensei Bujibuji Simba Nyamaume au Sensei King Kong III utajua kuliko hata Bruce Lee sawa?
Wewe Jamaa yaani kila nikiona tu Posts zako huwa Nacheka sana kwani una Vituko mno na hata Wajeda wenzako hapo Lugalo Barracks wanakukubali mno. Ukienda Jambo Lee niulizie Baamedi Mmoja hivi anaitwa Mwajuma kisha niangalizie kama Kalio lake lile la Kawe Kizuiani kama bado lipo au limepungua ili GENTAMYCINE nikiwa huku huku Kampala nchini Uganda nianze Kulia.Aje Fasta Jambo Lee tupange mipango ya kuanza mazoezi ,atachagua Dojo lililopo karibu na yeye π π .
Wewe Jamaa yaani kila nikiona tu Posts zako huwa Nacheka sana kwani una Vituko mno na hata Wajeda wenzako hapo Lugalo Barracks wanakukubali mno. Ukienda Jambo Lee niulizie Baamedi Mmoja hivi anaitwa Mwajuma kisha niangalizie kama Kalio lake lile la Kawe Kizuiani kama bado lipo au limepungua ili GENTAMYCINE nikiwa huku huku Kampala nchini Uganda nianze Kulia.