Natafuta mwalimu wa martial art

Natafuta mwalimu wa martial art

Nenda gym za ngumi, uzuri wa ngumi ukijifunza haikutoki hata umri ukienda, mimi nilicheza Tae Kwon Do, Kenpo Karate na nyinginezo ila ubaya wake ukikawia muda bila mazoezi zinakutoka.
Lakini nilipoanza ngumi yaani boxing, naona niko poa miaka yote.
Mkuu huwa unapanda ulingoni? Au hua unajifunza tu
 
Huyu atakuw ni MWALIMU sasa anatak ajue kuzitupa mbili tatu ajitetee siku wanafunzi wakimtaitisha.
 
Mimi pia natafuta mwalimu nipo dar
 
Miaka 31 siyo kijana we ni mzee tayari umeshaanza kupata maumivu ya mgogo huwezi kunyanyuka kwenye kiti bila kupiga kelele huku umekunja sura
 
Aje Fasta Jambo Lee tupange mipango ya kuanza mazoezi ,atachagua Dojo lililopo karibu na yeye 😀 😀 .
Wewe Jamaa yaani kila nikiona tu Posts zako huwa Nacheka sana kwani una Vituko mno na hata Wajeda wenzako hapo Lugalo Barracks wanakukubali mno. Ukienda Jambo Lee niulizie Baamedi Mmoja hivi anaitwa Mwajuma kisha niangalizie kama Kalio lake lile la Kawe Kizuiani kama bado lipo au limepungua ili GENTAMYCINE nikiwa huku huku Kampala nchini Uganda nianze Kulia.
 
Hahaaaa 😀 😀 .
 
Back
Top Bottom