Natafuta mwalimu wa martial art

Npo hapa mwalimu wa mathematics!
 
Kwa umri huo why mkuu usicheze tu kick boxing? Sina uelewa saaana wa mambo haya ila nadhani kick boxing haina mambo mengi kama karate.
 
Kwa umri huo why mkuu usicheze tu kick boxing? Sina uelewa saaana wa mambo haya ila nadhani kick boxing haina mambo mengi kama karate.
Nataka hiyo hiyo yenye mambo mengi kiongozi
 
Shotocan itanifaa. Na maeneo uliyotaja ninayafahamu sana . Asante kiongozi
 
Martial art unajifunza vizuri , pia huwa sio kupigana Bali Ni kupigana ama kutawalaa mind yako pekee ndio Mana ya martial art.
Inatakiwa upigane pasipo kupigana. Wanaokudanganya umri , umri is nothing but the will/desire/passion and ability and willingness to do something over and over and over again day in day out ndio ishu kubwa na hii hapa sio suala la umri ni ule utayari wako na upendo gani imeweka kwa kujifunza kwa hii kitu
 
Umri umeshaenda huo na hautaona faida wala manufaa ya huo mchezo, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mbali na self defence lakini pia hiyo ni sanaa unayokaa nayo hadi uzee wako wote kwasababu unaweza kucheza baadhi ya kata ukiwa umekaa au hata kitandani na ikishindikana mwili kabisa unafanya hizo kata through meditation.

Muangalieni hata Rais Putin na umri wake wote huo lakini bado hiyo sanaa anaitendea haki kisawasawa.

Kwa umri huo wa miaka 31 huyo bado kijana sana. Wapo waliojifunza wakiwa over 40
 
Angalizo; unakaa nayo hadi uzee kwa kuendelea kufanya mazoezi na si vinginevyo kama ilivyo kwa mafunzo mengine kama vile ya kitaaluma ambayo ukishahitimu na kupata cheti ndio mwisho.
Karate ni kama maji ya moto usipoendelea kuyaweka jikoni yanapoa.
 
Jifunze mbio tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…