Natafuta mwanamke wa kuanza nae maisha

Natafuta mwanamke wa kuanza nae maisha

Operand

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2020
Posts
275
Reaction score
287
Habari JF

Nimeona vyema kuongea hapa kwa walio single basi tuelewane

Nina imani mke mwema anapatikana kokote tu. Haijalishi mtandaoni au mtaani, ile kasumba ya wanawake wa mtandaoni ni wasumbufu, sikubaliani nayo!

Mimi ni kijana wa miaka 25-30,
Nafanya kazi ya ulinzi tu, kwa hio kipato changu kiko fixed sana.
Laki 2 tu kwa mwezi
Mimi ni mrefu, mwembamba, sina kitambi wala sina mpango wa kuwa nacho

Nahitaji mwanamke atakaeweza kuwa nami tuendeleze maisha.

Mwanamke yeyote ambaye hataleta dharau juu ya kazi yangu wala mshahara
Mwanamke mvumilivu, mshauri mzuri na pia wife material.

Umri asizidi miaka 25

Mengineyo tutaelezana faragha

Tuwasiliane PM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa umri wako 25-30 unamaanisha nini? Haujui mwaka uliozaliwa unakadiria?

Weka umri upate muolewaji.

Rusha ndoano kote mtaani na humu...wa humu kwa mshahara huo si rahisi kuwapata..hawa smartphones zao tu ndiyo mshahara huo.


Mwanaume kama unataka kuishi maisha ya amani oa mwanamke unayeweza kumcontrol. Akishakuwa na akili au mjanja kukuzidi basi atakusumbua saana.

Shurti la mwanamke awe submissive kwako...lakini usiitumie hiyo kama sababu ya kumnyanyasa, hapana.
 
Kwa mshara unaopata na umri unao taka haviendani umri huo ni matawi ya juu damu inachemka bado wanatamaa sana utateseka sana sijatafutia single mother,mjane au kibibi hao wote pesa wanayo walishatafuta utaishi kwa raha
asante mkuu

naheshimu sana mawazo yako pamoja na wakuu wengine

kwa vile JF Ina wanawake matured wanaojitambua, wanaojua kuishi na wanaume wa kila hali, i.e rich and poor, nina IMANI nitapata mwenza tu

bado mapema kuhukumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu mahitaji ya moyo wangu kwa sasa no mwanamke wa kuwa nae katika maisha na kujenga maisha.

kwa kweli najizuia sana kuwa na akil ya kuangalia maungo tamanifu kama hili.

ila kama Mungu kamjaalia hicho, na akahitaj ndoa basi si mbaya
Tunataniana kivipi tena? ina maana wewe hutaki chura kabisa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom