Natafuta mwanamke wa kuanza nae maisha

Natafuta mwanamke wa kuanza nae maisha

nakaribisha Pm tu
tukielewana basi nitamlinda yeye na wanangu,
kuanzia sasa mpaka milele

Bila kuwa mnafiki, mwanamke atakaekufaa kwa uzoefu wangu humu utaambulia namba A ya mwisho Mwisho huko T 1979 AZT ila hawa namba D ni ngumu sana kwa kipato chako na title ya kazi.

Hawa T 1998 DST ngumu sana tuwaachie akina Daby na mwenzie RRONDO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa umri wako 25-30 unamaanisha nini? Haujui mwaka uliozaliwa unakadiria?

Weka umri upate muolewaji.

Rusha ndoano kote mtaani na humu...wa humu kwa mshahara huo si rahisi kuwapata..hawa smartphones zao tu ndiyo mshahara huo.


Mwanaume kama unataka kuishi maisha ya amani oa mwanamke unayeweza kumcontrol. Akishakuwa na akili au mjanja kukuzidi basi atakusumbua saana.

Shurti la mwanamke awe submissive kwako...lakini usiitumie hiyo kama sababu ya kumnyanyasa, hapana.
Napigilia msumari
 
Naomba ufafanuzi wa mpangilio wa hizo namba
Hahahah D number ni mwanamke mbichi kwa sasa ila A ni wale old school women!

D kwa sasa ndio inatamba hapo unawakuta watoto wa 1998-2005 hapo!

Wale wa namba C tunazungumzia 1991-1997

B number ni watoto wa 1980-1990

A hao ndio wa 1979 kurudi nyuma huko.😂😂😂
 
Hahahah D number ni mwanamke mbichi kwa sasa ila A ni wale old school women!

D kwa sasa ndio inatamba hapo unawakuta watoto wa 1998-2005 hapo!

Wale wa namba C tunazungumzia 1991-1997

B number ni watoto wa 1980-1990

A hao ndio wa 1979 kurudi nyuma huko.😂😂😂
Kwahiyo hapo namba bora ni IPI?
 
Back
Top Bottom