Natafuta mwanamke wa kuenjoy maisha

Mkuu jaribu kutumia usafiri wa dala dala utwapata wengi tu tena wakali.Tatizo mnakaa kutumia vi baby walker vyenu hawa kuku wa kienyeji huwezi kuwapata labda uende Kidimbwi au Juliana!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Mimi nakubali kufanya hivo unavotaka,
Lakini kama ni kuenjoy tu naruhusiwa kukupenda na kukuonea wivu?
Maana nikishaamua kufanya yote unavotaka lazima karoho kataniuma nikikuona na mtu mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…