TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,199
- 3,307
- Thread starter
- #361
Exactly!!Sikuwa interested Kaka yangu
Sasa mbona unaanza kusema tena wengine wana bahati?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly!!Sikuwa interested Kaka yangu
Tunataniani tu mkuu,nothing serious haina haja ya maneno makali. Haya kwaheri.Exactly!!
Sasa mbona unaanza kusema tena wengine wana bahati?
😃😃😃 nachekaaaPole wewe mdangaji aliezeeka.
Yaani namshangaa ujue😀😀Tunataniani tu mkuu,nothing serious haina haja ya maneno makali. Haya kwaheri.
Cheka ufurahi, maisha ndo haya haya😃😃😃 nachekaaa
Sana mkuu acha niendelee kudanga huenda nikaopoa walau nipate 4000Cheka ufurahi, maisha ndo haya haya
Komaa. Its not over untill its over.Sana mkuu acha niendelee kudanga huenda nikaopoa walau nipate 4000
Nitumie hata jero basi nipate wepesi kwa leo mkuuKomaa. Its not over untill its over.
Leta namba ya M pesa mkuuNitumie hata jero basi nipate wepesi kwa leo mkuu
Sina mpesa dah...tunafanyeje sasa jamaniLeta namba ya M pesa mkuu
Provide any means that the money will get to you.Sina mpesa dah...tunafanyeje sasa jamani
Jamani nimemkosa hivihivi loohAwwww jamani thread imefungwa, shemeji sio mchoyo kabisa....ngoja nimfanyie wepesi.
Demi Wangari Maathai Hornet poteeni.
Jamani nimemkosa hivihivi looh
Hahahahahahaha!!Jamani nimemkosa hivihivi looh
Pigia mstarikwa hiyo Eve unataka kusema mi nakopwaga?
Usijali mkuu ..asante kwa msaada wakoProvide any means that the money will get to you.
itakua ulinikopaPigia mstari
Anytime..!!Usijali mkuu ..asante kwa msaada wako
Kwa culture yetu na makuzi tulio kulia ni ngumu sana hii kitu mwanzo wata anza vizuri baadae wivu utaingiaNo string attached
Cha muhimu maelewano. Ukiona hadi umekubali kukopwa basi maana yake maelewano yalikua ni mazuri sana.itakua ulinikopa