TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,199
- 3,307
- Thread starter
- #381
Makuzi tuliyokulia ndo yametufanya tuwe watu wa wivu kwenye mahusiano?Kwa culture yetu na makuzi tulio kulia ni ngumu sana hii kitu mwanzo wata anza vizuri baadae wivu utaingia