Natafuta mwanamke wa kuenjoy maisha

Natafuta mwanamke wa kuenjoy maisha

Tafuta kazi.... Au jikite kwenye kuwa dalali wa wadogo zako. Utakuja kuumiza watu usoni bure na hayo malapa.
Nipee kazi basi mzee baba..mbona hasira namna hiyo sasa?na kweli malapa yakikubana usoni huzungush dakika hata 2!
Naomba "ajila"
 
Mimi nakubali kufanya hivo unavotaka,
Lakini kama ni kuenjoy tu naruhusiwa kukupenda na kukuonea wivu?
Maana nikishaamua kufanya yote unavotaka lazima karoho kataniuma nikikuona na mtu mwingine.
Kuoneana wivu ni normal kwenye mapenzi... Cha msingi maelewano tu na kila mtu kujua nafasi yake. Karibu sana tuelewane.
 
Back
Top Bottom