Natafuta mwanamke wa kuenjoy maisha

Yeah, unadhani huyo demu unataka kumpima miwaya ili iweje?
Ili nijihakikishie kuwa hana maambukizi ya miwaya mkuu, tujihakikishie kuwa wote tuko safe.
What does ur question have anything to do with makuzi kutufanya tuwe na wivu?
 
Ili nijihakikishie kuwa hana maambukizi ya miwaya mkuu, tujihakikishie kuwa wote tuko safe.
What does ur question have anything to do with makuzi kutufanya tuwe na wivu?
Baada ya kumpima yupo safe uta anza kumtreat na kufatilia nyendo zake tayari huo ni wivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…