Natafuta mwanamke wa kuenjoy maisha

Natafuta mwanamke wa kuenjoy maisha

Unatafuta mwanamke wa kuenjoy nae maisha ila asiwe tegemezi?!
Ndio mkuu. Yaani we have fun,gharama ya fun nailipia sio ishu, ila isiwe tena anaanza vibomu mara leo gesi imeisha, kesho kodi imeisha, keshokutwa hela ya kusuka. Such stuffs zinakera. Ila kumpa support hapa na pale sio ishu.
 
Anataka wakuenjoy nae maisha ila kila mmoja ajigharamie asiwe tegemezi!

Nimegundua kua, ubahili wa mleta mada ndio sababu kuu inayompa upweke na kukosa company.
Hapana, hujaelewa. Usopotoshe.
Gharama za fun nitagharamia sio issue. Issue ni ile mtu anaomba hela kama vile wewe ni baba yake. Leo ya gesi, mara simu imeharibika, mara hela ya mafuta.
 
Mungu atusaidie watanzania sijui Nani katuloga, hivi kweli Jambo Kama hili unaleta mtandaoni kweli!!
Lakini je ! Hizo pesa hina pa kuzipeleka ?, Mbona watoto yatima wanahitaji hata mtu wa kuwapa 200 kwa siku na wanakosa? Lakni je umeshindwa kuoa au kumiliki ndoa yako? Kama sio shetani anakusumbua Nini hiki looh!!!!
 
Back
Top Bottom