Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuenjoy maisha na ubahili hata haviendani....Unatafuta mwanamke wa kuenjoy nae maisha ila asiwe tegemezi?!
Haina shida kwangu.Ukimpata anaemaliza vant 2 kubwa, sawa?
Kipengele cha utegemezi hakijakaa sawa..... maelezo kidogo, hautaki kuombwa miamala?Haina shida kwangu.
Sasa una uhakika gani kua hao wanaojiuza wao hawamo humu JF?Sitaki kwenda huko wanakojiuza kwa sababu hawana baadhi ya qualities ambazo nahitaji kama vile exposure na uelewa mpana wa masuala mbalimbali.
Pia, sihitaji mwanamke anaejiuza.
Ndio mkuu. Yaani we have fun,gharama ya fun nailipia sio ishu, ila isiwe tena anaanza vibomu mara leo gesi imeisha, kesho kodi imeisha, keshokutwa hela ya kusuka. Such stuffs zinakera. Ila kumpa support hapa na pale sio ishu.Unatafuta mwanamke wa kuenjoy nae maisha ila asiwe tegemezi?!
Nitahudumia gharama za fun na pia pale tutakapoelewana kulingana na huduma. Ila utegemezi isiwe ile kila siku mtu anapiga simu kuomba hela mara ya kusuka mara ya gesi mara sijui mafuta.Kipengele cha utegemezi hakijakaa sawa..... maelezo kidogo, hautaki kuombwa miamala?
Anataka wakuenjoy nae maisha ila kila mmoja ajigharamie asiwe tegemezi!Kipengele cha utegemezi hakijakaa sawa..... maelezo kidogo, hautaki kuombwa miamala?
mi nipo ila mke wa mtu 😀Anatafutwa wa kuliwa kimasihara.....
Nitamwambia mumeo shauri yako. 😀mi nipo ila mke wa mtu 😀
Hapana, hujaelewa. Usopotoshe.Anataka wakuenjoy nae maisha ila kila mmoja ajigharamie asiwe tegemezi!
Nimegundua kua, ubahili wa mleta mada ndio sababu kuu inayompa upweke na kukosa company.
Sasa si ndio ubahili wenyewe huo? starehe gharama jomba ama sivyo utajikuta unakua mpweke na kukosa company maisha yako yote.Hapana, hujaelewa. Usopotoshe.
Gharama za fun nitagharamia sio issue. Issue ni ile mtu anaomba hela kama vile wewe ni baba yake. Leo ya gesi, mara simu imeharibika, mara hela ya mafuta.
Haina shida. Njoo PM kama uko serious tuyajenge.mi nipo ila mke wa mtu 😀
Nashauri aendelee tu kujichukulia sheria mkononi (nyeto) .....Anataka wakuenjoy nae maisha ila kila mmoja ajigharamie asiwe tegemezi!
Nimegundua kua, ubahili wa mleta mada ndio sababu kuu inayompa upweke na kukosa company.
weeee hatakuaminiNitamwambia mumeo shauri yako. 😀