Natafuta mwanamke wa kunizalia

Natafuta mwanamke wa kunizalia

Mwanamke awe na umri kuanzia miaka 20 na kuendelea. Asiwe na akili ya kitoto awe n muelewa ambaye tunaweza panga jambo akaelewa na akafuata.

Makubaliano
  • Nitatunza mtoto
  • Nitahudumia
  • Mtoto hata ruhusiwa kubambikiziwa baba mwingine
  • Hakuna kuoana mi na mtu wangu
  • Unaruhusiwa kuendelea na maisha yako baada ya hapo

Vigezo vingine
  • Asiwe mke wa mtu
  • Awe single mother au msichana sawa tu
  • Aweze kutunza siri
Hujasema atakayekuzalia atapata nini
 
We chekelea mshikaji wangu. Taifa likiwa na watu milioni moja wa hivi,unategemea nini? Si kajianika mwenyewe! Hapa mzazi anajiproud kuwa ana mtoto! Kwamba ukoo utaona fahari kuwa na mwanaume! Kumbe hamna kitu! Bora dada zake

we dada ako anaweza mtia mimba mtu??

mbona kama una homornal imbalance mkuu huwezi kua una kasirika kasirika hovyo kama uko period!!…
kosa langu ni kusema sihitaji ndoa !!

KWAIYO MTU AKISEMA UKWELI NI ADUI!! siitaji ndoa
 
Kwani mkuu unaumia nini? mi n mwanao? ndugu yako?? mbona unawashwa kama unatafuta bwana!!

We kama uliona uzi haukuhusu ungekausha! Kila mtu ana malengo yake mjini
Basi,malengo yako hayajatimia,badili gia angani,pewa mimba uzae na wewe. Mwanangu awe kilaza kama wewe!!!! Undugu na lijitu lisilo na akili? Ndio namtafuta na asiwe mme wa mtu. Njoo
 
Mi kuna wanawake kama 9 hivi nishakutana nao wako financial stable hawahitaji ndoa wanahitaji watoto tu… sasa we kudhani kila mtu ana ndoto ya kuolewa ni makosa makubwa sana unaifanyia akili yako
Kweli wapo ila hao wengi wao wamekosa wanaume wanaowatamani. Wameshajaribu sana kuwateka wanaume hao, wanaishia kupigwa matukio.
 
Back
Top Bottom