Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda umpate sex worker. Ila mwanamke atakayekubalia, hana akili.
100%, .Una uhakika??
Hujasema atakayekuzalia atapata niniMwanamke awe na umri kuanzia miaka 20 na kuendelea. Asiwe na akili ya kitoto awe n muelewa ambaye tunaweza panga jambo akaelewa na akafuata.
Makubaliano
- Nitatunza mtoto
- Nitahudumia
- Mtoto hata ruhusiwa kubambikiziwa baba mwingine
- Hakuna kuoana mi na mtu wangu
- Unaruhusiwa kuendelea na maisha yako baada ya hapo
Vigezo vingine
- Asiwe mke wa mtu
- Awe single mother au msichana sawa tu
- Aweze kutunza siri
Mkipata pesa kidogo tu mnaanza kutuona kama ma incubator sio…sheeeyyynz
We chekelea mshikaji wangu. Taifa likiwa na watu milioni moja wa hivi,unategemea nini? Si kajianika mwenyewe! Hapa mzazi anajiproud kuwa ana mtoto! Kwamba ukoo utaona fahari kuwa na mwanaume! Kumbe hamna kitu! Bora dada zake[emoji3][emoji3][emoji3]Kwanza nicheke[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwani unataka ID au majibu ya swali lako?ungekua unatumia ID yako nadhani usingecomment!!
Nilijua tu hakuna ushauri !! Mtu wa maana hawezi jiita city hunter
Yan atakuwa amejichokaLabda umpate sex worker. Ila mwanamke atakayekubalia, hana akili.
We chekelea mshikaji wangu. Taifa likiwa na watu milioni moja wa hivi,unategemea nini? Si kajianika mwenyewe! Hapa mzazi anajiproud kuwa ana mtoto! Kwamba ukoo utaona fahari kuwa na mwanaume! Kumbe hamna kitu! Bora dada zake
Utashangaa sasa, yupo ke atakayekidhi vigezo!
Basi,malengo yako hayajatimia,badili gia angani,pewa mimba uzae na wewe. Mwanangu awe kilaza kama wewe!!!! Undugu na lijitu lisilo na akili? Ndio namtafuta na asiwe mme wa mtu. NjooKwani mkuu unaumia nini? mi n mwanao? ndugu yako?? mbona unawashwa kama unatafuta bwana!!
We kama uliona uzi haukuhusu ungekausha! Kila mtu ana malengo yake mjini
Kabisa ndo nachomwambia. Mwanamke anakubali kumzalia mwanaume anayemheshimu.Yan atakuwa amejichoka
Amechokwa na wazazi/ walezi mpk ukoo wake.
Hana tumaini, hana Mungu pia.
Si uje ujaribu?! Utajuaje uwezo huo anao hujaijia!we dada ako anaweza mtia mimba mtu??
mbona kama una homornal imbalance mkuu huwezi kua una kasirika kasirika hovyo kama uko period!!…
kosa langu ni kusema sihitaji ndoa !!
KWAIYO MTU AKISEMA UKWELI NI ADUI!! siitaji ndoa
Hatakosekana ila atakuwa na kasoro.Utashangaa sasa, yupo ke atakayekidhi vigezo!
Yan atakuwa amejichoka
Amechokwa na wazazi/ walezi mpk ukoo wake.
Hana tumaini, hana Mungu pia.
Hatakosekana ila atakuwa na kasoro.
Wewe mweñyewe una akili ya kitoto na unataka mtu asiye na akili ya kitoto.Mwanamke awe na umri kuanzia miaka 20 na kuendelea. Asiwe na akili ya kitoto awe n muelewa
Kweli wapo ila hao wengi wao wamekosa wanaume wanaowatamani. Wameshajaribu sana kuwateka wanaume hao, wanaishia kupigwa matukio.Mi kuna wanawake kama 9 hivi nishakutana nao wako financial stable hawahitaji ndoa wanahitaji watoto tu… sasa we kudhani kila mtu ana ndoto ya kuolewa ni makosa makubwa sana unaifanyia akili yako