Natafuta mwanamke wa kunizalia

Natafuta mwanamke wa kunizalia

Mwanamke awe na umri kuanzia miaka 20 na kuendelea. Asiwe na akili ya kitoto awe n muelewa ambaye tunaweza panga jambo akaelewa na akafuata.

Makubaliano
  • Nitatunza mtoto
  • Nitahudumia
  • Mtoto hata ruhusiwa kubambikiziwa baba mwingine
  • Hakuna kuoana mi na mtu wangu
  • Unaruhusiwa kuendelea na maisha yako baada ya hapo

Vigezo vingine
  • Asiwe mke wa mtu
  • Awe single mother au msichana sawa tu
  • Aweze kutunza siri
kwahiyo umeanza biashara ya kuzalisha watoto ili uongeze idadi ya single mothers mtaani si ndio?

njoo hapa kwa Apostle Mwamposa wamejazana tele wanasubiri watu wa aina yako,
ila kubali kushtakiwa kwa Mungu na laumu na laana kutoka kwa single mothers utakoa watelekeza zitatembea na wewe hadi pale tutakapokupumzisha kwenye makao ya milele na tani 3 za mchanga safi juu yako..
 
Basi,malengo yako hayajatimia,badili gia angani,pewa mimba uzae na wewe. Mwanangu awe kilaza kama wewe!!!! Undugu na lijitu lisilo na akili? Ndio namtafuta na asiwe mme wa mtu. Njoo

Sema ukweli we unataka unizalie sasa ukiwaza huna UTERUS unazidi kupata hasira[emoji3][emoji3]ntamtafuta dada ako
 
Duh! Maadili hakuna,hekima hamna,akili ndo sufuri kabisa. Ila ilemu ya ngono yenyewe una degree. Mwanamke wa kumzalisha! Af umuache! Una mtu wako!
1. Kama kweli yupo hakuridishi!? Au ndo hujielewi.
2. Baada ya kugundua huna akili hata kidogo,inaonekana hata kukutana nae keshakataa.
3. Ungekuwa na uwezo wa kulea,ungekuwa na wa kukuzalia.

Sasa si bora ukabebe mimba uzae wewe? Mpaka umekosa wa kumzalisha,ina maana una vinasaba vya kikekike,na akili za kikekike, zaa wewe
Punguza kejeli.
Nina watoto na sijao, nawatunza vizuriii na kila likizo wapo kwangu.
Hii December nawasubiri

#YNWA
 
Sema ukweli we unataka unizalie sasa ukiwaza huna UTERUS unazidi kupata hasira[emoji3][emoji3]ntamtafuta dada ako
Sema mkuu umeshindwa kabisa kufanya njia ya artificial hospitalini? Ndo njia rahisi zaidi na haina madhara , unajipiga puchu, manii zako zinakusanywa, nafikiri suitors wanakuwepo palepale, unamlipa mojawapo then anabeba mimba for 9 months, anazaa anakaa na mtoto mwaka mmoja, safari imeishia hapo .
 
Sema ukweli we unataka unizalie sasa ukiwaza huna UTERUS unazidi kupata hasira[emoji3][emoji3]ntamtafuta dada a
Huyo dada utampata wapi? Mpaka unajirusha mtandaoni kueneza kuzidiwa na mawazo ya ngono zembe,wengine wanahangaikia maendeleo.

Nakuzaliaje?! Kama unaweza kumcheat unaemuita mutu wako,uwezo wa kulea utakua nao wewe? Nigesema una pepo,ila inaelekea we mwenyewe ni pepo. Tena la kihuni haswa
 
Si uje ujaribu?! Utajuaje uwezo huo anao hujaijia!

[mention]CityHunter1 [/mention] Nilikua najiuliza kwanini una makasiriko sana na mimi Kutafuta mzazi mwenza bila ya ndoa !!…
Nikajua lazima ipo shida mahala

Kikawaida mtu aliyeko sawa huelewa utofauti wa watu kimalengo,kimtazamo na mapendeleo lakin ukiona mtu anataka kudictate kila watu waone mambo au wawe na malengo kama yake jua kuna shida mahali….

nikajaribu kufanya kautafiti kadogo[emoji1484]



Na shida nimeijua kumbe UNASHIDA YA UZAZI
IMG_1218.jpg

IMG_1219.jpg
 

Attachments

  • IMG_1219.jpg
    IMG_1219.jpg
    201.6 KB · Views: 11
Huyo dada utampata wapi? Mpaka unajirusha mtandaoni kueneza kuzidiwa na mawazo ya ngono zembe,wengine wanahangaikia maendeleo.

Nakuzaliaje?! Kama unaweza kumcheat unaemuita mutu wako,uwezo wa kulea utakua nao wewe? Nigesema una pepo,ila inaelekea we mwenyewe ni pepo. Tena la kihuni haswa

pole najua n shida ya kisaikolojia!!

Sikujua kua n wakike hata kumbe una K kabisa !!

Mwakani nikipost humu utakua na mtoto wangu!! Si unajiita una akili utapambana na malezi tuone kama hyo akili yako ipo
 
Back
Top Bottom