Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
- Thread starter
- #61
Situation gan weka waz hakuna anaekujua humu
Mke wangu hawezi zaa saizi namm nataka mtoto kwa haraka iwezekanavyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Situation gan weka waz hakuna anaekujua humu
Njoo basi. Ukikosa wa kumzalisha,si unapata wa kukuzalisha?
We humu mgeni?Haya,tuonyeshe mada yako humu kwa kila mtoto ukitangaza kuhitaji wa kuzaa nae? Ulichiti mkeo au mpenzi wako ili uzae?
noma sana, wale wa off-campus sogea tuishi kule Msewe wanameza kama pipiKabisa asee hawa sio wa kuanzishia familia asee
NAKAZIAKATAA NDOA
NAKAZIA
Saaafi. Mbuzi nankenge wa mwaroni wamekutana sasaHiyo mbuzi imejiunga leo humu
Saaafi. Mbuzi nankenge wa mwaroni wamekutana sasa
Pole sana mkuuMke wangu hawezi zaa saizi namm nataka mtoto kwa haraka iwezekanavyo
Njoooo. Kama si laana nini. Mwishoe tutajua tu. Kwa hiyo,umebadili gia yule wa kukuzalia humtaki tena unataka unigegede mimi? Njooo. Kazi ya kufukua mitalo ipo[mention]CityHunter1 [/mention] we lazima nikuzalishe uache mdomo
Lkn si atakupa mpunga wa kutosha .....then unaenda ishi luxury lifeNani anataka kua single mother [emoji2][emoji38][emoji41]
KakaJambazi muescort mshikaji kule Temeke Sudan akakodishe dem wa kumzalia🤣Mwanamke awe na umri kuanzia miaka 20 na kuendelea. Asiwe na akili ya kitoto awe n muelewa ambaye tunaweza panga jambo akaelewa na akafuata.
Makubaliano
- Nitatunza mtoto
- Nitahudumia
- Mtoto hata ruhusiwa kubambikiziwa baba mwingine
- Hakuna kuoana mi na mtu wangu
- Unaruhusiwa kuendelea na maisha yako baada ya hapo
Vigezo vingine
- Asiwe mke wa mtu
- Awe single mother au msichana sawa tu
- Aweze kutunza siri
Waende wa kuendaLkn si atakupa mpunga wa kutosha .....then unaenda ishi luxury life
Hela yako tu mtaani wamejaa kibao ukimpa laki laki za matumizi na kuchezea Mara 3 tu mchezo umeisha atakulazimisha wewe ndio umtie mimba, nishakupa muongozoNdio mchango wako??[emoji848]
Hela yako tu mtaani wamejaa kibao ukimpa laki laki za matumizi na kuchezea Mara 3 tu mchezo umeisha atakulazimisha wewe ndio umtie mimba, nishakupa muongozo
Waende wa kuenda
KakaJambazi muescort mshikaji kule Temeke Sudan akakodishe dem wa kumzalia[emoji1787]