Natafuta mwanamke wa kunizalia

Natafuta mwanamke wa kunizalia

IMG_1176.jpg

[mention]CityHunter1 [/mention] usilie bana kuchezewa kupoo tu
 
Mwanamke awe na umri kuanzia miaka 20 na kuendelea. Asiwe na akili ya kitoto awe n muelewa ambaye tunaweza panga jambo akaelewa na akafuata.

Makubaliano
  • Nitatunza mtoto
  • Nitahudumia
  • Mtoto hata ruhusiwa kubambikiziwa baba mwingine
  • Hakuna kuoana mi na mtu wangu
  • Unaruhusiwa kuendelea na maisha yako baada ya hapo

Vigezo vingine
  • Asiwe mke wa mtu
  • Awe single mother au msichana sawa tu
  • Aweze kutunza siri
KakaJambazi muescort mshikaji kule Temeke Sudan akakodishe dem wa kumzalia🤣
 
Back
Top Bottom