Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Nimeizoom tu.ngoma ni fupi hii😄Ile picha mbona ni mrefu, wafupi huwa wamesheheni haswa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeizoom tu.ngoma ni fupi hii😄Ile picha mbona ni mrefu, wafupi huwa wamesheheni haswa
Siamini japo wafupi nao ni watuNimeizoom tu.ngoma ni fupi hii😄
Amini japo kidogo ndugu raia mwenzanguSiamini japo wafupi nao ni watu
Niaminishe tena 😉Amini japo kidogo ndugu raia mwenzangu
Kama ni hivyo basi ungeenda kujaribu kwa Mwamposa. Kwa kweli hawa wa humu, hutawezana nao.Hapana mkuu, nimesema sitaki Unbox
Weka tattoo kiunoni..mchumba huyo usimuacheHautaki emolo ndugu yangu.
Ufupi mbaya sana
Mkuu, nakushauri ukanunue toys zile za kichina ama nenda pale mwenge vinyago wakuchongee wa aina unayotakaNdugu wanajamvi. Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza.
Nimeamua kuacha na life hili la kisera na la kujiamulia nitakavyo na kuanza life litakalonifanya ku surrender na kuji limi au kulimitiwa kwenye baadhi ya mambo.
Pamoja na uamuzi huo muafaka kwangu, hili halienda patulo bila vigezo. Aina ya mwanamke ninayetafuta ni lazima awe na na tatoo kiunoni, pia asiwe ameharibu ngozi yake wala nywele zake kwa maremborembo, awe hanywi, pombe, awe mcha Mungu pia awe na elimu kuanzia masters na asiwe mtu wa kupenda social medias au udaku.
Zaidi asiwe mwanamke ambaye akivaa nguo inampendeza bali chochote atakachovaa anakifanya kionekane kizuri. Urefu wake asizidi wala asipungue cm 177, na uzito usizidi Kg 68.
Kama hayupo basi niachani nikakate mgomba niuweke ndani.
Nawakaribisheni...sitaki Inbox