Natafuta Mwanamke wa kuoa

Natafuta Mwanamke wa kuoa

Mwanamke asome Mpk Masters afu aolewe !!
Duniania au Kuzimu ?
 
Ndugu wanajamvi. Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza.
Nimeamua kuacha na life hili la kisera na la kujiamulia nitakavyo na kuanza life litakalonifanya ku surrender na kuji limi au kulimitiwa kwenye baadhi ya mambo.

Pamoja na uamuzi huo muafaka kwangu, hili halienda patulo bila vigezo. Aina ya mwanamke ninayetafuta ni lazima awe na na tatoo kiunoni, pia asiwe ameharibu ngozi yake wala nywele zake kwa maremborembo, awe hanywi, pombe, awe mcha Mungu pia awe na elimu kuanzia masters na asiwe mtu wa kupenda social medias au udaku.

Zaidi asiwe mwanamke ambaye akivaa nguo inampendeza bali chochote atakachovaa anakifanya kionekane kizuri. Urefu wake asizidi wala asipungue cm 177, na uzito usizidi Kg 68.

Kama hayupo basi niachani nikakate mgomba niuweke ndani.

Nawakaribisheni...sitaki Inbox
Mkuu, nakushauri ukanunue toys zile za kichina ama nenda pale mwenge vinyago wakuchongee wa aina unayotaka
 
Back
Top Bottom