Natafuta Mwanamke wa kuoa

Natafuta Mwanamke wa kuoa

PakiJinja

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
11,689
Reaction score
25,848
Ndugu wanajamvi. Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza.
Nimeamua kuacha na life hili la kisera na la kujiamulia nitakavyo na kuanza life litakalonifanya ku surrender na kuji limi au kulimitiwa kwenye baadhi ya mambo.

Pamoja na uamuzi huo muafaka kwangu, hili halienda patulo bila vigezo. Aina ya mwanamke ninayetafuta ni lazima awe na na tatoo kiunoni, pia asiwe ameharibu ngozi yake wala nywele zake kwa maremborembo, awe hanywi, pombe, awe mcha Mungu pia awe na elimu kuanzia masters na asiwe mtu wa kupenda social medias au udaku.

Zaidi asiwe mwanamke ambaye akivaa nguo inampendeza bali chochote atakachovaa anakifanya kionekane kizuri. Urefu wake asizidi wala asipungue cm 177, na uzito usizidi Kg 68.

Kama hayupo basi niachani nikakate mgomba niuweke ndani.

Nawakaribisheni...sitaki Inbox
 
Hayupo mwanamke wa kufit vigezo vyako kwa asilimia mia.

Mvua zinanyesha sahivi
Finyanga wako umtakaye

Ukishindwa njoo Kaskazin huku kwa kina Lenie tukuhonge mgomba 😂😅
Acha roho mbaya mkuu
 
Ndugu wanajamvi. Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza.
Nimeamua kuacha na life hili la kisera na la kujiamulia nitakavyo na kuanza life litakalonifanya ku surrender na kuji limi au kulimitiwa kwenye baadhi ya mambo.

Pamoja na uamuzi huo muafaka kwangu, hili halienda patulo bila vigezo. Aina ya mwanamke ninayetafuta ni lazima awe na na tatoo kiunoni, pia asiwe ameharibu ngozi yake wala nywele zake kwa maremborembo, awe hanywi, pombe, awe mcha Mungu pia awe na elimu kuanzia masters na asiwe mtu wa kupenda social medias au udaku.

Zaidi asiwe mwanamke ambaye akivaa nguo inampendeza bali chochote atakachovaa anakifanya kionekane kizuri. Urefu wake asizidi wala asipungue cm 177, na uzito usizidi Kg 68.

Kama hayupo basi niachane nikakate mgomba niuweke ndani.

Nawakaribisheni...sitaki Inbox
Kuna Miss Natafuta ...yumo humu, umejaribu kuongea naye?
 
sasa mbona hapo mkuu umetaja sifa za wanawake 7 tofauti ... lakini aya endelea kuwatafuta ukiwakosa JF jaribu kuwasearch GOOGLE
 
Wewe ni Shotii afu unataka tolu, kipi ugundue Mkuu?
 
Back
Top Bottom