Natafuta mwanamke wa kuoa

Mkuu, ikitokea Missy Gf amerudisha moyo nyuma, ntaachana kabisa na habari za mashangazi. Ni stress tu na ukosefu wa adabu ndio vinanipeleka kwa wamama, ila moyo wangu upo kwake, na yeye analijua ilo
Hii ni uongo upuuzwe
 
Kwa ID yako ilivyo nakushauri kamuone Imam wa Msikiti wa Ijumaa hapo Mbeya.

Atatatuwa tatizo lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…