Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kusema uongo basi 😅Hawezi kunitaja mimi....amezoea matipwa tipwa mimi hata wowowo sina namuwezea wapi
Kushika ata shika hata USo jamani😁, Kaka angu Analyse ni mwema, sema we ndo una taka kuyumba 🤣Hawezi kunitaja mimi....amezoea matipwa tipwa mimi hata wowowo sina namuwezea wapi
Ndyo umeachiwa saa hiziAcha kusema uongo basi 😅
Kwa ID yako ilivyo nakushauri kamuone Imam wa Msikiti wa Ijumaa hapo Mbeya.Assalamualaikum Wana familia ya jf.
Nina ishi mbeya mjini sehemu inaitwa Airport ya zamani.
Natafuta mwanamke anayejitambua na mwenye uhitaji wa mume ili kujenga familia.
Sifa zake
Awe mwanamke mzuri na mwenye hofu ya Mungu, umri kuanzia miaka 23 na usizidi miaka 40.
Ukiwa singo mama basi usiwe na zaidi ya watoto watatu.
uwe na shuguli/ kazi ya kukuingizia kipato hata kama ni kidogo lakini sio mtu wa kukaa tu nyumbani 24/7 hapana.
Sibagui dini - sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu kikubwa ni upendo wa kweli, kuheshimiana na ku- focus maisha kwa pamoja.
Sifa zangu.
Nina miaka 40. Nina mtoto mmoja.
Nina uhitaji wa kweli.
Maisha ya mbeya ni rahisi sana, hivyo pamoja na kuhakikisha kuwa ndani Kuna kila kitu - Mchele, unga, mafuta, sukari, gesi ya kupikia, n.k bado mke atakuwa na bajeti ya ziada sh. Laki moja na nusu (150,000/=) average cost of 5,000/= per day kama Kodi ya mezani na inaweza kuongezeka kulingana na context.
NB: Najua wapo watakao kuja na kejeli kuwa hiyo pesa haitoshi lakini akiwa mwanamke ambaye hana mtoto hiyo pesa kwa hapa Mbeya mjini ni kubwa sana na maisha yatakuwa poa. Akiwa singo mama na yeye akiwa na kazi ya kuingiza kupato japo kidogo still hiyo fedha itakuwa na maana sana.
Watu wa Dar mkae kwa kutulia hatutaki shobo maandazi - kujifanya mmepatia maisha kumbe mnateseka kila uchao na wala hamjui kesho yenu zaidi ya kutafuta pesa ya ugali, nauli ya daladala na Kodi ya chumba kimoja tena uswahilini.
MWANAMKE MWENYE NIA YA DHATI KARIBU SANA PM ,
NB : LOCATION - MBEYA MJINI, Kama upo very interested na upo nearby Mbeya ukija PM nyosha maelezo yako vizuri but sihitaji distance relationship.
Pia uwe ready kupima UKIMWI pamoja nawe mara TATU.
Mimi na bro Analyse ni wezi😁, so tuli Kuwa kwenye majukumu.Ndyo umeachiwa saa hizi
Huu ni ukweli usio na shaka hata kidogo, rudisha moyo nyuma tulijenge penzi letu. Me nakusubiria weweHii ni uongo upuuzwe
Hela umeshapata au mashangazi hawakuhongiHuu ni ukweli usio na shaka hata kidogo, rudisha moyo nyuma tulijenge penzi letu. Me nakusubiria wewe
Tutatafuta za kwetu, ila kama unataka za mashangazi pia zipo maana wanajua kuhonga kuliko kawaidaHela umeshapata au mashangazi hawakuhongi
Tutumie za mishangazi huwaga tamu sanaTutatafuta za kwetu, ila kama unataka za mashangazi pia zipo maana wanajua kuhonga kuliko kawaida
wee kila saa hela, Kama una u ia na BENKI😂Hela umeshapata au mashangazi hawakuhongi
Mapenzi sio pesa ila hakikisha unazo mdogo wanguwee kila saa hela, Kama una u ia na BENKI😂
halafu nani una muita dogo😁, pesa ni muhimu, but don't be so obsessed by it.Mapenzi sio pesa ila hakikisha unazo mdogo wangu