Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Nipo tayari kwa lolote lakini kwa ephen nipo tayari kufa kwa ajili yake na kukata kiu ya moyo wangu ambao kwake umetua. Mimi kwa ephen ni kama mkufu tu ambaye sijiwezi pasipo yeye kuwa karibu yangu.