Natafuta mwanamke wa kuoa

Natafuta mwanamke wa kuoa

😂Lucas unanivunja mbavu zangu
Unajua leo nilikumiss! Kila nikichungulia sikuoni ukikua wapi?
😃😃😃Hata mimi nilikumissi sanaa ephen.wengi wameniulizia sana wakawa wanasema umetoka wapi nikawaambia ephen.wakasema ndio wapi huko nikasema ephen. Wakashindwa kuelewa chochote maana hawaelewi ndio wapi huko ephen 😃😃😃😃
 
☺️Unajua kunifurahisha! Kumbe wanyiha mna mahaba hivi!?
 
Mimi ni wakipekee kabisa maana hata watu huwa wananishangaa.wemgine wakiwa na stress zao wakiniona tu wanapata tabasamu kwa maneno yangu .wengine hata kama walikuwa wanabubujikwa machozi unaona machozi yao yakikata ghafla utafikiri mshumaa uliozimwa ghafla. Mimi ni mcheshi ,mkarimu,mwenye upendo wa mshumaa,mwenye huruma, unyenyekevu,busara,adabu n.k.

Wengine huniita ni Rais wa wananchi nisiye na vikosi vya jeshi. Wengine huniita mbunge wa wananchi. Wengine husema mtu wa watu.
 
Kiukweli hizo sifa unazo lucas
Sanasana hapo kwenye ucheshi ni 100%
Upendo/mahaba 100%
Kichwa kilikua kinaniuma nimekuona wewe kimepoa🤸
 
Mimi ni wakipekee kabisa maana hata watu huwa wananishangaa.wemgine wakiwa na stress zao wakiniona tu wanapata tabasamu kwa maneno yangu .wengine hata kama walikuwa wanabubujikwa machozi unaona machozi yao yakikata ghafla utafikiri mshumaa uliozimwa ghafla. Mimi ni mcheshi ,mkarimu,mwenye upendo wa mshumaa,mwenye huruma, unyenyekevu,busara,adabu n.k.

Wengine huniita ni Rais wa wananchi nisiye na vikosi vya jeshi. Wengine huniita mbunge wa wananchi. Wengine husema mtu wa watu.
We bwege Nazi nazi??, raisi wa VICHAA labda🤣🤣.
Alafu achana na shemeji yangu, la sivyo bro Analyse ata kuvunja mbavu.
 
Ukisoma comments za awali utaona namna ambavyo bongo kuna raia zina stress...

Dalili namba moja ni kufoka pasipo sababu, na ya pili ni kutukana...
 
Back
Top Bottom