Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Nipo tayari kwa lolote lakini kwa ephen nipo tayari kufa kwa ajili yake na kukata kiu ya moyo wangu ambao kwake umetua. Mimi kwa ephen ni kama mkufu tu ambaye sijiwezi pasipo yeye kuwa karibu yangu.
Umenifata hadi huku ki ujanjaMbeya mwenzenu huyo
Lione 😳Umenifata hadi huku ki ujanja
Tutumie jf kuenjoy🤸
Hata wenzio wali jifanya mashababi, ila Baada ya kutuona, wali kimbia ka wame muona jambazi😁🤣Nipo tayari kwa lolote lakini kwa ephen nipo tayari kufa kwa ajili yake na kukata kiu ya moyo wangu ambao kwake umetua. Mimi kwa ephen ni kama mkufu tu ambaye sijiwezi pasipo yeye kuwa karibu yangu.
Hawakufikii kwa loloteNipo tayari kwa lolote lakini kwa ephen nipo tayari kufa kwa ajili yake na kukata kiu ya moyo wangu ambao kwake umetua. Mimi kwa ephen ni kama mkufu tu ambaye sijiwezi pasipo yeye kuwa karibu yangu.
Msingi kiuno😂, naimani ume sikia story zetu Sana🤣.Hawakufikii kwa lolote
1.Una mahaba
2.Upo karibu na Raisi, Makonda
Siku ya harusi yetu viongozi wote wa Ccm watakuja🤸
Siwatakiiiii🏃Msingi kiuno😂, naimani ume sikia story zetu Sana🤣.
Ukoo wetu uko vizuri, yaani kila kidume ana iweza shughuli 😂🤣
Tena siku hiyo itaombwa na wananchi iwe ya mapumziko kitaifa.Hawakufikii kwa lolote
1.Una mahaba
2.Upo karibu na Raisi, Makonda
Siku ya harusi yetu viongozi wote wa Ccm watakuja🤸
acha ujeuri, ili ukija home ulale vizuri😂🤣Siwatakiiiii🏃
Amka usije uka kojoa kitandani😂🤣Tena siku hiyo itaombwa na wananchi iwe ya mapumziko kitaifa.
Intelligent na kaka ake watakua walinzi wa ukumbiTena siku hiyo itaombwa na wananchi iwe ya mapumziko kitaifa.
Oya bro Analyse huyu Dem Leo Kawa jeuri, ana sahau Ali kuwa ana sema familia yetu iko vizuri😂🤣Intelligent na kaka ake watakua walinzi wa ukumbi
Watakuwa wanalinda magari ya viongozi yasisogelewe na wadudu kama mbuIntelligent na kaka ake watakua walinzi wa ukumbi
😂😂😂😂😂😂Watuache mimi na wewe ni damu damuWatakuwa wanalinda magari ya viongozi yasisogelewe na wadudu kama mbu
Ngoja nikale, Niki Rudi nawa funza adabu muache ujeuri😂🤣😂😂😂😂😂😂Watuache mimi na wewe ni damu damu
Bro we si tuli kupokea mjini ukawa Mlinzi kwenye yetu nyumba!?.Kaka ako anapenda mishangazi, ya nini nijitese? Lucas kashinda pambano🤸
Sikujibu tena! Mkiachwa achika🏃Bro we si tuli kupokea mjini ukawa Mlinzi kwenye yetu nyumba!?.
Leo Usha Anza kuji kuta nunda😂🤣
Sasa maneno yatalipa bill kweli???Kumbe wewe hupendi ma baharia😁, una penda marasta wenye vichenchi vya ghafla 🤣