Natafuta mwanamke wa kuoa

Natafuta mwanamke wa kuoa

Awe mwanamke mzuri na mwenye hofu ya Mungu
Hapa ndio mnakoseaga, we unapata mtu anakwambia ana hofu ya Mungu na hana bikira. Au mwanaume anasema ana hofu ya Mungu unampa tunda wala haulizi lipo wapi. Ilitakiwa first date mnaulizana IKO WAPI SIIONI, anakwambia TAFUTA TU HUKO HUKO.
 
Wale warembo wa hapo mafiat wamekuchosha ?
Uliambiwa wanawake wa kutafutia kwenye mitandao ndio wenye maadili?
Hivi kwa akili yako unaweza kuoa mwanamke hujui Kama amezaa, ameachwa, ana UTI sugu, au Ni OSU au hata aliyeolewa na bwege Fulani halina habari nae kwa tabia mbaya.
Ukimpata ambaye Ni bikra mitandaoni njoo nikupe vocha wiki nzima.
 
Assalamualaikum Wana familia ya jf.

Nina ishi mbeya mjini sehemu inaitwa Airport ya zamani.
Natafuta mwanamke anayejitambua na mwenye uhitaji wa mume ili kujenga familia.
Sifa zake
Awe mwanamke mzuri na mwenye hofu ya Mungu, umri kuanzia miaka 23 na usizidi miaka 40.
Ukiwa singo mama basi usiwe na zaidi ya watoto watatu.
uwe na shuguli/ kazi ya kukuingizia kipato hata kama ni kidogo lakini sio mtu wa kukaa tu nyumbani 24/7 hapana.

Sibagui dini - sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu kikubwa ni upendo wa kweli, kuheshimiana na ku- focus maisha kwa pamoja.
Sifa zangu.
Nina miaka 40. Nina mtoto mmoja.
Nina uhitaji wa kweli.

Maisha ya mbeya ni rahisi sana, hivyo pamoja na kuhakikisha kuwa ndani Kuna kila kitu - Mchele, unga, mafuta, sukari, gesi ya kupikia, n.k bado mke atakuwa na bajeti ya ziada sh. Laki moja na nusu (150,000/=) average cost of 5,000/= per day kama Kodi ya mezani na inaweza kuongezeka kulingana na context.

NB: Najua wapo watakao kuja na kejeli kuwa hiyo pesa haitoshi lakini akiwa mwanamke ambaye hana mtoto hiyo pesa kwa hapa Mbeya mjini ni kubwa sana na maisha yatakuwa poa. Akiwa singo mama na yeye akiwa na kazi ya kuingiza kupato japo kidogo still hiyo fedha itakuwa na maana sana.
Watu wa Dar mkae kwa kutulia hatutaki shobo maandazi - kujifanya mmepatia maisha kumbe mnateseka kila uchao na wala hamjui kesho yenu zaidi ya kutafuta pesa ya ugali, nauli ya daladala na Kodi ya chumba kimoja tena uswahilini.

MWANAMKE MWENYE NIA YA DHATI KARIBU SANA PM ,

NB : LOCATION - MBEYA MJINI, Kama upo very interested na upo nearby Mbeya ukija PM nyosha maelezo yako vizuri but sihitaji distance relationship.

Pia uwe ready kupima UKIMWI pamoja nawe mara TATU.
Nenda kwa wale wanawake wanaojiuza
Jaribu kuongea nao...atakaye kubali umuoe atakuwa anamaanisha.
Hakika wanayajua maisha.
 
Back
Top Bottom