Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Unamimba?Nina 25 years, nimeajiriwa ni mrefu, mweupe kiasi nahitaji mwenyewe sifa zifuatazo:
19 to 32 years
Mweupe na beautiful
Mrefu kiasi
Sio mnene wala mwembamba sana
Mwenye dimpoz
Awe tayari kushiriki tendo
Mwenye kujua kulea mtoto
Nitamtunza kila kitu kuanzia ujauzito mpaka mtoto akifikisha 3 years nitatoa hela shillingi milioni tano cash
Sihitaji ndoa wala mahusiano
Kama una vigezo njoo pm au mshirikishe rafiki yako/dada yako
Linasemaje rafiki
Asante kwa kunipaSawa utapata
Bloo nataka mtoto tu sitaki mahusiano na kiumbe chochoteApitie kwanza hii mada
Maandalizi ya kupata mtoto/watoto
Ni nani ambaye hapendi kuwa na mtoto/watoto? Asilimia 90 wanapenda.. Lakini mtoto/watoto hawapatikani dukani ama gulioni ama mnadani kwamba utaenda Kuchagua uwatakao na kununua.. La hasha Kupata mtoto/watoto ni commitment moja kubwa sana yenye kuhitaji utayari na kujitoa kwa wazazi wote wawili...www.jamiiforums.com
Njoo geto babyUnamimba?
Njoo kipenzi tujadiliDimpoz zimenikosesha kazi 🥲🙈
Njoo geto sista25 yrs na bado huna akili
Ili ionekane kuna uzembe umefanyika lazima upeleke malalamiko kwa aliyekuwa msimamizi wa zamu wa ile siku, ukimkosa tafuta uongozi wa hiyo hospitali, ukiwakosa nenda wilayani mtafute mganga mfawidhi wa wilaya na ukiwakosa endelea kupandisha hadi mkoani ukiwakosa peleka shtaka polisi au mahakamani.Unaanzia wapi yaani,. Police au Mahakamani moja kwa moja au kwa mwajiri wao au wapi?
Shauri zake 😅😅We hutaki mwenye trako?
Nataka mwenye trako la wastanShauri zake 😅😅
Sawa nikukute na mama yakoNjoo geto sista
😛Nataka mwenye trako la wastan
ANha ok,.Ili ionekane kuna uzembe umefanyika lazima upeleke malalamiko kwa aliyekuwa msimamizi wa zamu wa ile siku, ukimkosa tafuta uongozi wa hiyo hospitali, ukiwakosa nenda wilayani mtafute mganga mfawidhi wa wilaya na ukiwakosa endelea kupandisha hadi mkoani ukiwakosa peleka shtaka polisi au mahakamani.
Tumbili wa mjini anataka kuongeza tumbili mwingine mjini 😂
Una 25 years unatafuta mwanamke wa kuzaa nae ila awe "mweupe na beautiful"
Wewe ni nyege zinakusumbua.
Kaa chini utulie.
Ndio kwanza una 25yrs🙄.
Anyways hivi wakuu hakuna namna mtu anaweza kuwashitaki madaktari kwa kusababisha kifo cha mtu kwa uzembe?,.
25 yrs na bado huna akili
Nyie wotee niliowa ""Quote"" punguzeni hasira na maisha ya mtu.Unamimba?
OkNyie wotee niliowa ""Quote"" punguzeni hasira na maisha ya mtu.
Mimi binafsi raisi wa kataa ndoa nilipata mtoto wa kwanza nikiwa na miaka 25
Na nimepata watoto wa mwisho (mapacha) nikiwa na miaka 34
Na sasa ni baba wa watoto wa 4 sina sina habari ya ndoa na sitaki ndoa.
Iko hivi ....
Kila mtu ma staili yake ya maisha na usilete dharau na matusi kwa life style ya mtu kisa hajafata life style yako
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kwa kuwa hayo ni baadhi ya maswali utakayoulizwa mfano hatua ulizochukua baada ya tukio kutokea na ulisaidiwa vipi?ANha ok,.