Natafuta mwanamke wa kuzaa nae tu

Natafuta mwanamke wa kuzaa nae tu

You are very young. Why do you want a kid now?? Fashion? Toy?

I want a kid to love him or her for the rest of my life. I got a big old heart with the love so pure ambayo mtoto wangu mpendwa anastahili kuipata maana nna wapa love hii wananizingua.

Its time for my kid to enjoy "love" na mali zangu.
 
Sura ngumu za kike zina changamoto zake!! Binti mwenye sura ya babu yake hatapewa kipaumbele sema za ukweli!

Asije nizalia watoto nusu mtu nusu nyani!? Lol!

Daah yani watu mna maneno teh. Omba tu wanao wasije wakafata sura za wajomba wa babu zenu. Maana kuna watoto wana makusudi teh
atoto where are you hahahah, kazi tunayo shoga angu
 
Last edited by a moderator:
Trust me! Mimi ni handsome kabisaa. Ila kasura kangu ni kakike kiaina. Ndo maana nataka such a cutte and belle woman tuone offspring yetu itakuwaje!?

uyu kijana sio mzima...nimeshamuelezea apo juu...this is so gay!!na ndio maana wana wake wanakuacha ur not a real man!!
 
Kweli WANAUME😕 tunazidi kutoweka duniani, na hiki kizazi cha WAVULANA:😱 naona kikishika kasi kwa mbio na tambo zaidi aiseeee......
 
  • Thanks
Reactions: THT
Ahaaaaaa wanawake siku hivi wote wana phd ahaaaaa nani umfanye mchepuko akuzalie raha ule na wengine? Mmhhh na hilo gari litakuwa linambeba nani? Hayo maneno kawambie watoto wa primary ungekuwa na sifa hizo usingekosa mwanamke wa ndoa. Afu dogo u hensam ni mambo ya kizamani mwanaume usifiwa kwa pochi. U hemsam kapigie picha za matangazo.

Ushauri. Wewe bado no mdogo jipe mda oa at 30. Oa mke weka ndani tofauti na apo utabambikiziwa.
 
uyu kijana sio mzima...nimeshamuelezea apo juu...this is so gay!!na ndio maana wana wake wanakuacha ur not a real man!!

Duh!! Nikiwa gay najua itakuwa ni laana kubwa saana kwa ukoo wangu na Mungu wangu...generation curse.

Kuwa na kasura kakike ndo kuna justify kwamba mimi ni Gay!?

Please naomba unitake radhi kwa hili! Mapema mkuu!
 
28 umeanza mapenzi serious lini? . Umemizwa lini? . Na hadi afikie kukata tamaa
 
28 umeanza mapenzi serious lini? . Umemizwa lini? . Na hadi afikie kukata tamaa

I've been through a lot kuhusiana na love wangu..! Maana nilipata kazi mapema saana serikalini as a form 4 leaver so nilijiestablish mapema na nlianza kuchase love early kiaina that's why niko hivi leo.
 
Sasa nazidi kuamini kuwa kuna vijana wengi wenye uwezo kabisa wa kiuchumi ila wanaogopa STRESS ZA NDOA.
 
Sasa nazidi kuamini kuwa kuna vijana wengi wenye uwezo kabisa wa kiuchumi ila wanaogopa STRESS ZA NDOA.

Wewe umenielewa vizuri saana, nlikuwa sijui ni maneno gani niweke ili nisound better and informative humu.

Huko shuleni mwl wako alikula mshahara wa bure maana unajua tu tayari..simply genius!
 
  • Thanks
Reactions: Art
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza natafuta mwanamke wa kuzaa nae mtoto tu kisha jukumu la kumtunza mama na mtoto nitalibeba.

Ni kijana mwenye miaka 28, handsome, decent, humble, focused and hardwoking. Nina kazi serikalin mshahara wangu ni zaidi ya laki 8. Nina nyumba na gari.

Nimechoshwa na mapenzi ya kufake ya kibongo whoever interested aje PM then we can seal a deal then maandishi ya Ustawi wa jamii na mahakamani yatafuata.

Note; uzuri wa sura unanasisitizwa na utapewa kipaumbele zaidi.

Karibuni!

Mkuu mimi nimekuelewa vizuri na sio wewe peke yako. Ni vijana wengi sana wamekata tamaa ya kuoa kutokana na stresses na matukio yaliyopo kwenye ndoa.

USHAURI: Mwombe mwenyezi Mungu akupe mke sahihi mtakaeelewana naye,usizuzuke na figure tu au sura...utakuja lia.
 
Kama unajivunia u handsome nenda real Madrid, wanawake wengi siku hizi hawataki ma handsome wanadai ni wasumbufu sana. Alafu ngoja nikuulize huyo unaemtaka kwa ajili ya mtoto tu itakuaje wakati wa ku do feelings itakuwaje hau utamruhusu aongee tu na sim wakati mna.... Funguka.
 
Mkuu mimi nimekuelewa vizuri na sio wewe peke yako. Ni vijana wengi sana wamekata tamaa ya kuoa kutokana na stresses na matukio yaliyopo kwenye ndoa.

USHAURI: Mwombe mwenyezi Mungu akupe mke sahihi mtakaeelewana naye,usizuzuke na figure tu au sura...utakuja lia.

Maneno murua saana haya muhimu watu wayasome na kuyatafakari.

Noted!
 
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza natafuta mwanamke wa kuzaa nae mtoto tu kisha jukumu la kumtunza mama na mtoto nitalibeba.

Ni kijana mwenye miaka 28, handsome, decent, humble, focused and hardwoking. Nina kazi serikalin mshahara wangu ni zaidi ya laki 8. Nina nyumba na gari.

Nimechoshwa na mapenzi ya kufake ya kibongo whoever interested aje PM then we can seal a deal then maandishi ya Ustawi wa jamii na mahakamani yatafuata.

Note; uzuri wa sura unanasisitizwa na utapewa kipaumbele zaidi.

Karibuni!

U luku like ur very stressed pole,,,why gals playing wit ur feeling though u hav full package????,,i think ur the only reason in one way or another

Anyway muombe mungu your still young my brother
 
nilikua natafuta mwanaume wa kuzaa nae .....
mtoto ntalea mimi, ila kama utatujali wote wawili haina shida ngoja nikupm
 
Back
Top Bottom