Natafuta mwanamke wa kuzaa nae tu

Natafuta mwanamke wa kuzaa nae tu

Emmbu orodhesha acc.no yako na bank ulizopo kwanza nikusaidie ukae.delee na zoezi ama lah...

Siyo account number tu bali aina ya nyumba anayojenga, aina ya gari, pamoja na mastercard/visacard... ili twende tukacheki balance tuwe na uhakika kuwa anaweza kumuangalia vyema huyo mtoto.
 
Trust me! Mimi ni handsome kabisaa. Ila kasura kangu ni kakike kiaina. Ndo maana nataka such a cutte and belle woman tuone offspring yetu itakuwaje!?

...kasura ka kike,sawa!....je una kishuzi mtepweto?!!
...mamende tupo tunakusomea ramani!
 
Daah yani watu mna maneno teh. Omba tu wanao wasije wakafata sura za wajomba wa babu zenu. Maana kuna watoto wana makusudi teh
atoto where are you hahahah, kazi tunayo shoga angu

Dili limenipita hivihivi na hili lisura la baba, ila mie bado namlaumu mama of all handisamu men akamuona baba tu! Matokeo yake mie nikafanana na baba alafu kaka yangu mito akafanana na mama akawa boonge la handsam, mie sasa dooo utafikiri sio ndugu, ila tusikate tamaa mama tujipe moyo kila mtu na mtuwe si eti eeeh?
 
Last edited by a moderator:
Sasa mshahara zaidi ya laki nane,hehehe haya ngoja waje lakini those digits are too low utaleaje mama na mtoto?
 
Niko very busy kaka sina muda wa kudate tena nafanya kazi serikalini na private matter of fact nshazinguliwa saana na women. I'm fade up na love stuffs though napenda saana mtoto awe anafanya vurugu ndani ya kagari kangu na mimi.
Sio domo zege nna confidence dunia nzima ila ni quite person saana sir.

Bado nasubiri!

Kama upo very busy huo Muda wa kuwa na huyo mwanamke utapata wapi?
 
Dili limenipita hivihivi na hili lisura la baba, ila mie bado namlaumu mama of all handisamu men akamuona baba tu! Matokeo yake mie nikafanana na baba alafu kaka yangu mito akafanana na mama akawa boonge la handsam, mie sasa dooo utafikiri sio ndugu, ila tusikate tamaa mama tujipe moyo kila mtu na mtuwe si eti eeeh?

There is someone for everyone, wasituzingue. Bana. Tukiona vipi shoga angu tunahamia zetu gym tuopoe tu wazungu. Kisa cha kutufanya wenzao mareject ndo nini?
 
Last edited by a moderator:
There is someone for everyone, wasituzingue. Bana. Tukiona vipi shoga angu tunahamia zetu gym tuopoe tu wazungu. Kisa cha kutufanya wenzao mareject ndo nini?

Hahahaaaa! Kabisaaa, kila mtu akija humu anataka mrembo tu hakuna anaetaka aliyefanana na babu mzaa baba!! Sasa wazungu tujitahidi tu tuondoe migutambi tuwe vimodo alafu weusi utakuwa credit si eti?
 
Hahahaaaa! Kabisaaa, kila mtu akija humu anataka mrembo tu hakuna anaetaka aliyefanana na babu mzaa baba!! Sasa wazungu tujitahidi tu tuondoe migutambi tuwe vimodo alafu weusi utakuwa credit si eti?

Teinaaa na vipilipili vyetu na hawamind machogo wala nini. Afu ushawahi kuona katoto ka kizungu kabaya? Watashaaa
Yani wao kuchukua sura za mama zetu wanaona raha, ila sisi kufanana na baba zetu ni kosa la jinai pyee
 
Bora wanetu watafanana na baba zao tuondokane na hii dhahama, kesho asubihi na mapema nitakupitia tuanze kwenda gym.
 
Bora wanetu watafanana na baba zao tuondokane na hii dhahama, kesho asubihi na mapema nitakupitia tuanze kwenda gym.

Ahsante mpenzi, yani hawa watajuta kutureject. Ila tutafute wazungu vijana kidogo mwenzangu, maana kuopoa vibabu navyo mmh
 
Hahaha. So much love for the brotherman. I heard from BDK what he was told by a certain OG, "when you're holding, never show/floss your wins/". It's a hardknock life man, even your friends would flip on you.
 
pole i can see umeumizwa na wanawake ndio maana unataka uwe na mtoto tu. ila naamin akijitokeza huyo wakuzaa naye akaishi nawe kimapenzi according to your psychological problem utashangaa unampenda mnaoana, mungu akufanyie wepesi upate mwanamke mwenye mapenzi, mvumilivi wakati huu una stress hapo baadae utawapenda wanawake than anything
 
why unatokwa na mapovu hivyo,,,mbona ndo mpango mzuri ,,tena akawabebe wa mtaani wapo wengi tu wanataka familia
 
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza natafuta mwanamke wa kuzaa nae mtoto tu kisha jukumu la kumtunza mama na mtoto nitalibeba.

Ni kijana mwenye miaka 28, handsome, decent, humble, focused and hardwoking. Nina kazi serikalin mshahara wangu ni zaidi ya laki 8. Nina nyumba na gari.

Nimechoshwa na mapenzi ya kufake ya kibongo whoever interested aje PM then we can seal a deal then maandishi ya Ustawi wa jamii na mahakamani yatafuata.

Note; uzuri wa sura unanasisitizwa na utapewa kipaumbele zaidi.

Karibuni!

Kaka mi niko ndani ya ndoa,binafsi kama ningekuwa na uwezo kurudisha muda nyuma basi ningefanyaga maamuzi kama haya ya kwako tuu, wala nisingeoa.
 
Hahaa bitmkongwe kahayo masharti labda awe.anajiuza pale sinza afrikasana loh..
 
Back
Top Bottom