Natafuta mwanamke wa kuzaa nae tu

Natafuta mwanamke wa kuzaa nae tu

Hahaaaa utashindwa kujizuia bana utaanza kunisumbua, teh teh

Au aanza kucheki hiyo ya kwenye avatar yangu, japo hii ni ya longi sana
Teh unanijua dada ako nilivyo mtulivu, sitokusumbua hata. Wewe nitumie tu nipate kapicha kakuweka kwenye wallet yangu
 
Teh unanijua dada ako nilivyo mtulivu, sitokusumbua hata. Wewe nitumie tu nipate kapicha kakuweka kwenye wallet yangu

Duh uweke kwenye wallet tena!! okay basi check PM yako in 10min itakuwa huko tiyari, teh
 
Ukiona unazinguliwa zinguliwa ujue una tabia ya UBINAFSI... Chako chako... Acha izo. Vizuri kula na wenzio...
 
hapa kuna harufu flani ya mchele mchele!!
 
Ustawi na mahakama wapo kwa ajili ya ujinga huu unaweza itiwa polisi kwa hili lengo lako
 
Back
Top Bottom