Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Ahsante mpenzi, yani hawa watajuta kutureject. Ila tutafute wazungu vijana kidogo mwenzangu, maana kuopoa vibabu navyo mmh
Vibabu ndio vizuri urithi nje nje, teh teh teh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante mpenzi, yani hawa watajuta kutureject. Ila tutafute wazungu vijana kidogo mwenzangu, maana kuopoa vibabu navyo mmh
Teh afu nilisahau jambo la mbolea kabisa, twende na English course kwa ras simba. Tutamuomba tu atufundishe zile lugha za mahusiano mfano zile " I love you, I miss you n.k. Japo hata tukipiga broken wazungu hawajali, ila tuombe tu wasiwe na viinglish vigumu kama vya paulo, tutaadhirika shoga anguVibabu ndio vizuri urithi nje nje, teh teh teh!
Teh afu nilisahau jambo la mbolea kabisa, twende na English course kwa ras simba. Tutamuomba tu atufundishe zile lugha za mahusiano mfano zile " I love you, I miss you n.k. Japo hata tukipiga broken wazungu hawajali, ila tuombe tu wasiwe na viinglish vigumu kama vya paulo, tutaadhirika shoga angu
Hehehe "I love you" ya kutafsiriwa ujue hainogi eti, afu paulo unadhani anatutakia mema, atatutafsiria vya uongoVikiwa vigumu tunamchukua paulo anakuwa lawn mower atakuwa anatutafsiria, teh teh, kiinglish nacho wito mama.
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza natafuta mwanamke wa kuzaa nae mtoto tu kisha jukumu la kumtunza mama na mtoto nitalibeba.
Ni kijana mwenye miaka 28, handsome, decent, humble, focused and hardwoking. Nina kazi serikalin mshahara wangu ni zaidi ya laki 8. Nina nyumba na gari.
Nimechoshwa na mapenzi ya kufake ya kibongo whoever interested aje PM then we can seal a deal then maandishi ya Ustawi wa jamii na mahakamani yatafuata.
Note; uzuri wa sura unanasisitizwa na utapewa kipaumbele zaidi.
Karibuni!
Khhhhhhhaaaaaaaaaaaa,
Hivi mtu unaweza kuwa decent na sifa kibao ukose mke kweli?
Ila ningeshauri utafute surrogate mother, unamlipa cash yake na kila kitu kwa mkataba. Mayai unaweza kununua pia!
Ila bado sielewi kabisa!
Trust me! Mimi ni handsome kabisaa. Ila kasura kangu ni kakike kiaina. Ndo maana nataka such a cutte and belle woman tuone offspring yetu itakuwaje!?
Dili limenipita hivihivi na hili lisura la baba, ila mie bado namlaumu mama of all handisamu men akamuona baba tu! Matokeo yake mie nikafanana na baba alafu kaka yangu mito akafanana na mama akawa boonge la handsam, mie sasa dooo utafikiri sio ndugu, ila tusikate tamaa mama tujipe moyo kila mtu na mtuwe si eti eeeh?
Khaa my kaka kesho unitumie basi photo yako nikuone ulivyo handddddHalafu ujue uyasemayo ni kweli kabisa sista!! hahaaaaaa najifagilia mwenyewe, loh!
Khaa my kaka kesho unitumie basi photo yako nikuone ulivyo handdddd
Niko very busy kaka sina muda wa kudate tena nafanya kazi serikalini na private matter of fact nshazinguliwa saana na women. I'm fade up na love stuffs though napenda saana mtoto awe anafanya vurugu ndani ya kagari kangu na mimi.
Sio domo zege nna confidence dunia nzima ila ni quite person saana sir.
Bado nasubiri!
Khaa my kaka kesho unitumie basi photo yako nikuone ulivyo handdddd
Teh nini tena jamani, au na wewe ni handdddd nikuombe picha yako basiHahahahaaa halafu weweeee😉