bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Emmbu orodhesha acc.no yako na bank ulizopo kwanza nikusaidie ukae.delee na zoezi ama lah...
nilikua natafuta mwanaume wa kuzaa nae .....
mtoto ntalea mimi, ila kama utatujali wote wawili haina shida ngoja nikupm
Trust me! Mimi ni handsome kabisaa. Ila kasura kangu ni kakike kiaina. Ndo maana nataka such a cutte and belle woman tuone offspring yetu itakuwaje!?
To the rescue here I am miss. C'moon.
Maneno murua saana haya muhimu watu wayasome na kuyatafakari.
Noted!
Daah yani watu mna maneno teh. Omba tu wanao wasije wakafata sura za wajomba wa babu zenu. Maana kuna watoto wana makusudi teh
atoto where are you hahahah, kazi tunayo shoga angu
Niko very busy kaka sina muda wa kudate tena nafanya kazi serikalini na private matter of fact nshazinguliwa saana na women. I'm fade up na love stuffs though napenda saana mtoto awe anafanya vurugu ndani ya kagari kangu na mimi.
Sio domo zege nna confidence dunia nzima ila ni quite person saana sir.
Bado nasubiri!
Dili limenipita hivihivi na hili lisura la baba, ila mie bado namlaumu mama of all handisamu men akamuona baba tu! Matokeo yake mie nikafanana na baba alafu kaka yangu mito akafanana na mama akawa boonge la handsam, mie sasa dooo utafikiri sio ndugu, ila tusikate tamaa mama tujipe moyo kila mtu na mtuwe si eti eeeh?
There is someone for everyone, wasituzingue. Bana. Tukiona vipi shoga angu tunahamia zetu gym tuopoe tu wazungu. Kisa cha kutufanya wenzao mareject ndo nini?
Hahahaaaa! Kabisaaa, kila mtu akija humu anataka mrembo tu hakuna anaetaka aliyefanana na babu mzaa baba!! Sasa wazungu tujitahidi tu tuondoe migutambi tuwe vimodo alafu weusi utakuwa credit si eti?
Teinaaa na vipilipili vyetu na hawamind machogo wala nini. Afu ushawahi kuona katoto ka kizungu kabaya? Watashaaa
Yani wao kuchukua sura za mama zetu wanaona raha, ila sisi kufanana na baba zetu ni kosa la jinai pyee
Bora wanetu watafanana na baba zao tuondokane na hii dhahama, kesho asubihi na mapema nitakupitia tuanze kwenda gym.
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza natafuta mwanamke wa kuzaa nae mtoto tu kisha jukumu la kumtunza mama na mtoto nitalibeba.
Ni kijana mwenye miaka 28, handsome, decent, humble, focused and hardwoking. Nina kazi serikalin mshahara wangu ni zaidi ya laki 8. Nina nyumba na gari.
Nimechoshwa na mapenzi ya kufake ya kibongo whoever interested aje PM then we can seal a deal then maandishi ya Ustawi wa jamii na mahakamani yatafuata.
Note; uzuri wa sura unanasisitizwa na utapewa kipaumbele zaidi.
Karibuni!