Natafuta mwanamke wa kuzaa nae tu

Vibabu ndio vizuri urithi nje nje, teh teh teh!
Teh afu nilisahau jambo la mbolea kabisa, twende na English course kwa ras simba. Tutamuomba tu atufundishe zile lugha za mahusiano mfano zile " I love you, I miss you n.k. Japo hata tukipiga broken wazungu hawajali, ila tuombe tu wasiwe na viinglish vigumu kama vya paulo, tutaadhirika shoga angu
 
ok kuna dada mmoja ana watoto watatu amekubali kukusaidie ila akikuzalia huyo mtt na ww umsaidie kulea na hawa wengine kama uko tayar weka namba yako hapa
 

Vikiwa vigumu tunamchukua paulo anakuwa lawn mower atakuwa anatutafsiria, teh teh, kiinglish nacho wito mama.
 
Vikiwa vigumu tunamchukua paulo anakuwa lawn mower atakuwa anatutafsiria, teh teh, kiinglish nacho wito mama.
Hehehe "I love you" ya kutafsiriwa ujue hainogi eti, afu paulo unadhani anatutakia mema, atatutafsiria vya uongo
 
Kama mpaka umefika umri huo hujawahi hata kusingiziwa ujue unatatizo.,,hata huyo utakae mpaka atajazwa nje alaf akuambie ni wa kwako..pole sana
 
usihangaike humu...wanauzwa pale nakumat.. kajichagulie!!!
 
Dk Magufuli naomba pia uingie kwenye tasnia ya filamu...piga marufuku uangaliaji wa movie za majuu maana sasa zinawaathiri wanaojiita watendaji wako...maana wanataka kuishi cjui ndo ki brad pitt... #bongomoviendompangomzima
 

Okay sperm donor
 
Hujataka tu kumuelewa huyo.
Anatafuta ngono za bure kwa wingi bila strings attached. Hataki mapenzi anataka mtoto tu, nataka kumuuliza keshaandaa pesa ya kufanya IVF? Manake kama mkataba ni kuzaa tu unyumba haupo kwenye menu.
Khhhhhhhaaaaaaaaaaaa,

Hivi mtu unaweza kuwa decent na sifa kibao ukose mke kweli?

Ila ningeshauri utafute surrogate mother, unamlipa cash yake na kila kitu kwa mkataba. Mayai unaweza kununua pia!

Ila bado sielewi kabisa!
 

Halafu ujue uyasemayo ni kweli kabisa sista!! hahaaaaaa najifagilia mwenyewe, loh!
 

Kua tuu mkweli, hiyo ni tabia za gay men, kawaida huwa wanataka watoto ,lakini mahusiano na wanawake hawa taki, sababu sio chaguo lao , usigangaike kujieleza kwa sabau hakuna atakaye kuelewa, sikilizia huko inbox kupata atakaye fanikisha ndoto yako kuwa baba.
 
Tuma taarifa hom wakutafutie kama umeshindwa kupata watoto qa mjini wasiojali ubize baasi.

Kupata mke siyo kuwa na muda wa kutosha,muda unahitajika ktk kupata pesa.
 
Khaa my kaka kesho unitumie basi photo yako nikuone ulivyo handdddd

Hahaaaa utashindwa kujizuia bana utaanza kunisumbua, teh teh

Au aanza kucheki hiyo ya kwenye avatar yangu, japo hii ni ya longi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…