Mimi ni Mwanadada naishi Kaskazini kabila Langu ni Mmasai nanina umri ambao nitayari kuolewa nakuwa na mume .
Sifa zangu mimi ni mpole na pia napenda kuwaheshimu watu wote .
Mimi ni muelewa na pia napenda nipate mtu ambaye anajiheshimu sana na anayetaka kutulia.
Kweli nahitaji mtu mchapakazi napia muelewa sana .
Naanayejieshimu sana na asiyependa matusi .
Namcha Mungu.
Elimu atleast awe kapita O level
Awe mkimya micharuko sipendi.
Kingine nawatakia wakati mwema.
AsanteeVyote unavyotafuta vipo kwa Da'Vinci. Karibu mkuu
SawaUtapata ila tatizo principle moja ya kutafuta mwenza unaikeuka.
Ni ileee isemayo "usitangaze sifa za mpenzi umtakae"
Kwa sababu ukitangaza watajitokeza wengi waigizaji ili wakupate wakuingize king.
Tafuta kimya kimya utampata umtakae kwa sababu hakuna anayeigiza pale akijua hafuatiliwi na mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
HayaPm tuyajenge mama yeyooo wangu
Hiyo principle huku kwenye ulimwengu wa online haiwezi apply, ni lazma aweke vigezo ili wajitokeze watu kadhaa awafanyie screening kama wanakidhi vigezo ama la.Utapata ila tatizo principle moja ya kutafuta mwenza unaikeuka.
Ni ileee isemayo "usitangaze sifa za mpenzi umtakae"
Kwa sababu ukitangaza watajitokeza wengi waigizaji ili wakupate wakuingize king.
Tafuta kimya kimya utampata umtakae kwa sababu hakuna anayeigiza pale akijua hafuatiliwi na mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama haifanyi kazi basi hiyo sio sehemu sahihi ya kumpata,labda kumtafuta.Hiyo principle huku kwenye ulimwengu wa online haiwezi apply, ni lazma aweke vigezo ili wajitokeze watu kadhaa awafanyie screening kama wanakidhi vigezo ama la.
Bahati mbaya mapenzi hayategemei principle moja tu ati ndo kipimo cha usahihi no.Kama haifanyi kazi basi hiyo sio sehemu sahihi ya kumpata,labda kumtafuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bahati mbaya mapenzi hayategemei principle moja tu ati ndo kipimo cha usahihi no.