Natafuta Mwanaume mtu mzima ambaye yupo serious anayetaka kuoa

Natafuta Mwanaume mtu mzima ambaye yupo serious anayetaka kuoa

Karibu sana
Mimi ni Mwanadada naishi Kaskazini kabila Langu ni Mmasai nanina umri ambao nitayari kuolewa nakuwa na mume .
Sifa zangu mimi ni mpole na pia napenda kuwaheshimu watu wote .
Mimi ni muelewa na pia napenda nipate mtu ambaye anajiheshimu sana na anayetaka kutulia.
Kweli nahitaji mtu mchapakazi napia muelewa sana .
Naanayejieshimu sana na asiyependa matusi .
Namcha Mungu.
Elimu atleast awe kapita O level
Awe mkimya micharuko sipendi.
Kingine nawatakia wakati mwema.
Karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jitahd utapata ila uwe makini tu na watu wa humu. Wapo ambao ni wastaarab na ukimpata unasema hakika Mwenyez Mungu amekutunuku lkn kuna wachache wanaharibu sifa ya umu. Kuwa makini sn mn wngne wapo kula tunda kimasihara. Wasijepoteza malengo yako.
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdada mmasai ,.... By nature nyie ni ma wife material

Ayaaaa mabaria, muwe mnaona nawatu wa kuwachezea
 
Wanaume watu wazima wote wameoa na wana familia zao, na ikitokea umempata mtu mzima na hajaoa basi amini huyo mwanaume atakuwa na kasoro kubwa
AKUBALI SHIRIKA
awe mke wapili nitampa cheo nyumba kubwa badala ya ndogo
 
Mimi ni Mwanadada naishi Kaskazini kabila Langu ni Mmasai nanina umri ambao nitayari kuolewa nakuwa na mume .
Sifa zangu mimi ni mpole na pia napenda kuwaheshimu watu wote .
Mimi ni muelewa na pia napenda nipate mtu ambaye anajiheshimu sana na anayetaka kutulia.
Kweli nahitaji mtu mchapakazi napia muelewa sana .
Naanayejieshimu sana na asiyependa matusi .
Namcha Mungu.
Elimu atleast awe kapita O level
Awe mkimya micharuko sipendi.
Kingine nawatakia wakati mwema.
Mwanaume mtu mzima je umri kuazia up?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom