Natafuta Mwanaume mtu mzima ambaye yupo serious anayetaka kuoa

Natafuta Mwanaume mtu mzima ambaye yupo serious anayetaka kuoa

Mimi ni Mwanadada naishi Kaskazini kabila Langu ni Mmasai nanina umri ambao nitayari kuolewa nakuwa na mume .
Sifa zangu mimi ni mpole na pia napenda kuwaheshimu watu wote .
Mimi ni muelewa na pia napenda nipate mtu ambaye anajiheshimu sana na anayetaka kutulia.
Kweli nahitaji mtu mchapakazi napia muelewa sana .
Naanayejieshimu sana na asiyependa matusi .
Namcha Mungu.
Elimu atleast awe kapita O level
Awe mkimya micharuko sipendi.
Kingine nawatakia wakati mwema.
Usijali utapata... Mimi nilimpata humuhumu mpaka sasa sijaamini maana ni Almasi ya kipekee. Kila la Heri Mama Yeyooo..... Ndito Siangiki mtarajiwa
 
Mimi mtu mzima, ila sipo serious

Napita naenda zangu kwa mangi kununua mswaki, kiunoni nimepiga mkwiji wa taulo.
 
Honeytrap hii..hakuna lolote..laa una shida mahali..hakuna mwanamke mzuri anayekosa wanaume wa kumtongoza popote pale alipo..hakuna narudia tena hakuna..

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujaelezea ushatoa mimba ngapi au idadi ya watoto ulionao. Najua sio bikra.
 
Back
Top Bottom