Natafuta Mwanaume mtu mzima ambaye yupo serious anayetaka kuoa

We unaishi mkoa gani kwa sasa. Ht Mimi Niko siliazi sana tena sana
 
MysweetL, Kupata unachotaka humu jamvini ni 50/50,ukiangukia upande mbaya utadanganywa, utaikingia kingi, utabanduliwa, utaachwa solemba, utapata stress kwa kuliwa na kuachwa, utajinyonga, utakufa, utazikwa na hadithi itakuwaimeishia hpo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni Mwanadada naishi Kaskazini, kabila Langu ni Mmasai na nina umri ambao nitayari kuolewa nakuwa na mume. Sifa zangu mimi ni mpole na pia napenda kuwaheshimu watu wote.

Mimi ni muelewa na pia napenda nipate mtu ambaye anajiheshimu sana na anayetaka kutulia. Kweli nahitaji mtu mchapakazi napia muelewa sana. Naanayejieshimu sana na asiyependa matusi.

Namcha Mungu. Elimu atleast awe kapita O level

Awe mkimya micharuko sipendi.

Kingine nawatakia wakati mwema.

Fungua pm yako basi mama

Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Kupata unachotaka humu jamvini ni 50/50,ukiangukia upande mbaya utadanganywa, utaikingia kingi, utabanduliwa, utaachwa solemba, utapata stress kwa kuliwa na kuachwa, utajinyonga, utakufa, utazikwa na hadithi itakuwaimeishia hpo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani anabikra? Huyo alishagegedwa na kila aina ya gegedo na akaachwa wanatafuta mwanaume wa kuzeeka nae
 
Mimi ni Mwanadada naishi Kaskazini, kabila Langu ni Mmasai na nina umri ambao nitayari kuolewa nakuwa na mume. Sifa zangu mimi ni mpole na pia napenda kuwaheshimu watu wote.

Mimi ni muelewa na pia napenda nipate mtu ambaye anajiheshimu sana na anayetaka kutulia. Kweli nahitaji mtu mchapakazi napia muelewa sana. Naanayejieshimu sana na asiyependa matusi.

Namcha Mungu. Elimu atleast awe kapita O level

Awe mkimya micharuko sipendi.

Kingine nawatakia wakati mwema.
njoo pm

Hizi sifa zote kama ninazo ivi

Njoo pm
 
Back
Top Bottom