Usijali utapata... Mimi nilimpata humuhumu mpaka sasa sijaamini maana ni Almasi ya kipekee. Kila la Heri Mama Yeyooo..... Ndito Siangiki mtarajiwaMimi ni Mwanadada naishi Kaskazini kabila Langu ni Mmasai nanina umri ambao nitayari kuolewa nakuwa na mume .
Sifa zangu mimi ni mpole na pia napenda kuwaheshimu watu wote .
Mimi ni muelewa na pia napenda nipate mtu ambaye anajiheshimu sana na anayetaka kutulia.
Kweli nahitaji mtu mchapakazi napia muelewa sana .
Naanayejieshimu sana na asiyependa matusi .
Namcha Mungu.
Elimu atleast awe kapita O level
Awe mkimya micharuko sipendi.
Kingine nawatakia wakati mwema.