man of the match
Member
- Jun 30, 2016
- 70
- 29
KaribuMimi ni Mwanadada naishi Kaskazini kabila Langu ni Mmasai nanina umri ambao nitayari kuolewa nakuwa na mume .
Sifa zangu mimi ni mpole na pia napenda kuwaheshimu watu wote .
Mimi ni muelewa na pia napenda nipate mtu ambaye anajiheshimu sana na anayetaka kutulia.
Kweli nahitaji mtu mchapakazi napia muelewa sana .
Naanayejieshimu sana na asiyependa matusi .
Namcha Mungu.
Elimu atleast awe kapita O level
Awe mkimya micharuko sipendi.
Kingine nawatakia wakati mwema.
Ahahahaha nashkr sn kwa kusema ukweli mkuu.Wanaume watu wazima wote wameoa na wana familia zao, na ikitokea umempata mtu mzima na hajaoa basi amini huyo mwanaume atakuwa na kasoro kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Namba ya fuso aisee
AKUBALI SHIRIKAWanaume watu wazima wote wameoa na wana familia zao, na ikitokea umempata mtu mzima na hajaoa basi amini huyo mwanaume atakuwa na kasoro kubwa
Mwanaume mtu mzima je umri kuazia up?Mimi ni Mwanadada naishi Kaskazini kabila Langu ni Mmasai nanina umri ambao nitayari kuolewa nakuwa na mume .