Natafuta Mwanaume mtu mzima ambaye yupo serious anayetaka kuoa

We unaishi mkoa gani kwa sasa. Ht Mimi Niko siliazi sana tena sana
 
MysweetL, Kupata unachotaka humu jamvini ni 50/50,ukiangukia upande mbaya utadanganywa, utaikingia kingi, utabanduliwa, utaachwa solemba, utapata stress kwa kuliwa na kuachwa, utajinyonga, utakufa, utazikwa na hadithi itakuwaimeishia hpo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Fungua pm yako basi mama


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Kwani anabikra? Huyo alishagegedwa na kila aina ya gegedo na akaachwa wanatafuta mwanaume wa kuzeeka nae
 
njoo pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi sifa zote kama ninazo ivi

Njoo pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…