Natafuta mwanaume mwenye hali kama yangu

Wazee wa kujilipua. Mnaitwa huku, huyu yupo vizuri tu
 
Shukrani mkuu
 
All the best mamy, Mungu akujalie hitaji la moyo wako.
Ila sio lazima awe na hali kama yako anaweza kuwa HIV negative lakini akawa tayari kuwa nawe mpaka ndoa,hivyo usiweke mpaka wa hitaji lako.

Mmmh watz hawa hawa? yataka moyo.
 
Wapo waelewa,kikubwa ni kuishi kwa tahadhari. Kuna watu wawili ninaowafahamu walioamua kuwa na wenza waathirika na mpaka sasa wao hawajaambukizwa
na wewe tafuta acha story za paka na panya
 
sasa na wewe utamoenda mtu from jf bila kumjua eti awe serious we pia hauko serious labda ni views ila kama ni ishu hii nahisi sipo
 
ushauri ulikuwa ni uache stori za uongo fikirisha ubongo uelewe
Usiloliweza wewe wenzio wanaliweza!.......... Hakuna lisilowezekana chini ya jua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…