Natafuta mwanaume wa kunioa 2024

Wewe ni bikra? Kama sio basi ni Malaya kama Malaya wengine
 
Nina miaka 47. Nna watoto watatu mama tofauti Ila sina mawasiliano nao.

Dini nasali Kwa Mtume Mwamposa.

Natamni hii chance
Huna vigezo, kasema asizidi mtoto mmoja
 
Ogopa sana,mabinti wa hv wanakuwaga wameshindwa mtaani,hata na we ukijaribu yatakukuta.wana vikasoro fulani hv,gubu,hasira,kuomba omba vihela usipompa kwa wakati anavimba ko mwanaume anaejielewa hajipi mzigo
Usikariri mkuuu.
 
Yaani we mshangazi wa kichaga unapanga kabisa na mwaka wa kuolewa yaani 2024?

By the time ukiwa unavutia ukiwa 20 to 25 ulikuwa wapi? Ulikuwa unachagua handsome? Now kwisha habari yako!

Maana elimu yako ni Diploma, so meaning kuwa sio shule ilikubana la hasha but now huna mwendo ndio unataka uolewe !

USHAURI WA BURE:

  • Kwa kuwa wewe ni mchaga tena mshangazi acha u-selffish. Tabia hiyo hakuna mwanaume ataweza kuivumilia.
  • usiwe chako ni chako na cha mume ndio chako, hapo hutaweza jenga familia ila utakuwa ki-u-selfish zaidi (chaga women behavior).

Mwisho, Mungu akupe wa kufanana nawe mshangazi wa kichaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…