MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Hivi huwa mnamaanisha nini mnaposema 'hofu ya mungu'?Sifa za mwanaume
Umri kuanzia miaka 36 hadi 45 awe na hofu ya Mungu .
Hapa naamini mwamba ikitokea amepata changamoto yoyote kwenye shughuli zake na kipato kikaanza kusua sua huo ndio unakua mwisho wa ndoa yenu. Hii ni red flag sijui kama utaweza mvumilia mwambaAwe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato.
Habari za humu jf
Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:Chagga
Elim Diploma
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)
Sina mtoto wala sijawah kuolewa, ninahofu ya Mungu, mpole, msikivu,mtulivu,rangi maji ya kunde (mweupe kwa mbali)sio mnene wala mwembamba pia sio mfupi wala mrefu(wastani)
Sifa za mwanaume
Umri kuanzia miaka 36 hadi 45 awe na hofu ya Mungu ,mkweli na mwenye upendo
Awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato, akiwa na mtoto asizidi mmoja, kabila lolote , dini Mkristo ila sio Sabato zaid awe mpambanaji(mtafutaji)Karibu pm tuyajenge niko tayari kuwa mke.
Mchagga wa wapi? Picha?Habari za humu jf

πππ ndio nishafika sasaUshaharibu sasa, huyo usimwambie
Nichagulie mmojaπ€£π€£π€£ukinipa mm nani nikatae kakazakoπ€£π€£Wii unataka kujipachika wapi tena?? ππ
Niko na age 31Habari za humu jf
Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:Chagga
Elim Diploma
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)
Sina mtoto wala sijawah kuolewa, ninahofu ya Mungu, mpole, msikivu,mtulivu,rangi maji ya kunde (mweupe kwa mbali)sio mnene wala mwembamba pia sio mfupi wala mrefu(wastani)
Sifa za mwanaume
Umri kuanzia miaka 36 hadi 45 awe na hofu ya Mungu ,mkweli na mwenye upendo
Awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato, akiwa na mtoto asizidi mmoja, kabila lolote , dini Mkristo ila sio Sabato zaid awe mpambanaji(mtafutaji)Karibu pm tuyajenge niko tayari kuwa mke.
Wanakulaga ujana wanasahau kuwa kuna kuolewaKila siku ni Dar pekee ndiyo kuna wanawake watafuta wenza!
Mchukue huyo Mpaji Mungu ana pesa ss hivi kkoo kumechanganya πNichagulie mmojaπ€£π€£π€£ukinipa mm nani nikatae kakazakoπ€£π€£
Utani utani unashangaaa narudisha kadi ya kukataaa mkatabaMchukue huyo Mpaji Mungu ana pesa ss hivi kkoo kumechanganya π
Chukua mtoto huyo winga, chelea chelea utakuta mwana si wako πππUtani utani unashangaaa narudisha kadi ya kukataaa mkataba
Naomba nikusahihishe mkuu sio kwa ubaya, Dar kuna idadi kubwa ya watu kuliko mkoa wowote TanzaniaCha kushangaza dar kuna idadi kubwa ya watu kuliko mikoa yote Tanzania.
Used tissueHabari za humu jf
Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:Chagga
Elim Diploma
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)
Sina mtoto wala sijawah kuolewa, ninahofu ya Mungu, mpole, msikivu,mtulivu,rangi maji ya kunde (mweupe kwa mbali)sio mnene wala mwembamba pia sio mfupi wala mrefu(wastani)
Sifa za mwanaume
Umri kuanzia miaka 36 hadi 45 awe na hofu ya Mungu ,mkweli na mwenye upendo
Awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato, akiwa na mtoto asizidi mmoja, kabila lolote , dini Mkristo ila sio Sabato zaid awe mpambanaji(mtafutaji)Karibu pm tuyajenge niko tayari kuwa mke.
Mbona trible tenaπ πTrible= Chagga πππππ