Natafuta mwanaume wa kunioa 2024

Natafuta mwanaume wa kunioa 2024

Sifa za mwanaume
Umri kuanzia miaka 36 hadi 45 awe na hofu ya Mungu .
Hivi huwa mnamaanisha nini mnaposema 'hofu ya mungu'?
Awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato.
Hapa naamini mwamba ikitokea amepata changamoto yoyote kwenye shughuli zake na kipato kikaanza kusua sua huo ndio unakua mwisho wa ndoa yenu. Hii ni red flag sijui kama utaweza mvumilia mwamba
 
Habari za humu jf
Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:Chagga
Elim Diploma
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)

Sina mtoto wala sijawah kuolewa, ninahofu ya Mungu, mpole, msikivu,mtulivu,rangi maji ya kunde (mweupe kwa mbali)sio mnene wala mwembamba pia sio mfupi wala mrefu(wastani)

Sifa za mwanaume
Umri kuanzia miaka 36 hadi 45 awe na hofu ya Mungu ,mkweli na mwenye upendo
Awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato, akiwa na mtoto asizidi mmoja, kabila lolote , dini Mkristo ila sio Sabato zaid awe mpambanaji(mtafutaji)Karibu pm tuyajenge niko tayari kuwa mke.
 
Mchagga wa wapi? Picha?
 
Niko na age 31
 
Used tissue
 
Back
Top Bottom