Natafuta mwanaume wa kunioa 2024

Natafuta mwanaume wa kunioa 2024

Habari za humu jf
Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:Chagga
Elim Diploma
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)

Sina mtoto wala sijawah kuolewa, ninahofu ya Mungu, mpole, msikivu,mtulivu,rangi maji ya kunde (mweupe kwa mbali)sio mnene wala mwembamba pia sio mfupi wala mrefu(wastani)

Sifa za mwanaume
Umri kuanzia miaka 36 hadi 45 awe na hofu ya Mungu ,mkweli na mwenye upendo
Awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato, akiwa na mtoto asizidi mmoja, kabila lolote , dini Mkristo ila sio Sabato zaid awe mpambanaji(mtafutaji)Karibu pm tuyajenge niko tayari kuwa mke.
Vijana huwa wanauliza,Kyura kipo? Kama kipo kinarukaruka?
 
Ogopa sana,mabinti wa hv wanakuwaga wameshindwa mtaani,hata na we ukijaribu yatakukuta.wana vikasoro fulani hv,gubu,hasira,kuomba omba vihela usipompa kwa wakati anavimba ko mwanaume anaejielewa hajipi mzigo
Yeah unakuta wanaume wote wa mtaani kwake wameshindwana naye sasa anajaribu kutafuta wa mbali wasiomjua ili kuficha aibu.
Lakini sio wote wako hivyo kuna wengine hukosa wenza kutokana na sababu za kimajukumu kwa mfano mtu ameajiriwa kwenye kampuni fulani halafu anahamishwa kwenye vituo vya kazi mara kwa mara kwenda mikoa tofauti au mwingine unakuta kazi yake ni ya kusafiri mara kwa mara anakosa utulivu hivyo anashindwa kumpata mtu wa kujenga naye mahusiano ya kudumu
 
Yaani wanawake wa kichaga ni nuksi sana . Anapokuwa anasaka pumziko la moyo unaweza sema ni malaika!

To me I consider Chaga woman like a toxic cancer!

Hawa viumbe wao wapo kimaslahi zaidi!

TEAM KATAA NDOA 💪💪
Usikute miaka miaka ya nyuma alikuwa anawinda kuolewa na tajiri baadae mipango yake ikabuma.
Sasa ameona umri umesonga inabidi atafute mwanaume yeyote tu wa kuzaa naye kabla hajazeeka.
Kuna kipindi nilienda Moshi kufanya kazi sasa kuna mwanamke fulani nilimuona sasa nikamtathmini kwa haraka haraka kimuonekano anaonekana kama wife materials basi tukapeana mawasiliano tukaanza kuchat ili tuanze kuzoeana basi wiki iliyofuata nikamuita mahali tuonane kwa ajili ya mazungumzo basi amekuja tumeketi na kuanza kupiga stori basi wakati hata stori hazijachanganya vizuri ananipiga mzinga wa Laki 5 eti ana shida nayo akaongezee mtaji wa biashara aisee tulivyoachana pale nilitoka nduki sikutaka ukaribu naye tena hadi hii leo nikikutana na mtu nikisikia tu ile lafudhi kichwa changu kinagonga alarm.😄😄😄😄😄
 
Habari za humu jf
Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:Chagga
Elim Diploma
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)

Sina mtoto wala sijawah kuolewa, ninahofu ya Mungu, mpole, msikivu,mtulivu,rangi maji ya kunde (mweupe kwa mbali)sio mnene wala mwembamba pia sio mfupi wala mrefu(wastani)

Sifa za mwanaume
Umri kuanzia miaka 36 hadi 45 awe na hofu ya Mungu ,mkweli na mwenye upendo
Awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato, akiwa na mtoto asizidi mmoja, kabila lolote , dini Mkristo ila sio Sabato zaid awe mpambanaji(mtafutaji)Karibu pm tuyajenge niko tayari kuwa mke.
Dakika za jiooooni kabisa😅😅🤣🤣
 
Awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato, akiwa na mtoto asizidi mmoja, kabila lolote , dini Mkristo ila sio Sabato zaid awe mpambanaji(mtafutaji)Karibu pm tuyajenge niko tayari kuwa mke
Ulikuwa wapi hadi nimeoa?
 
Habari za humu jf
Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:Chagga
Elim Diploma
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)

Sina mtoto wala sijawah kuolewa, ninahofu ya Mungu, mpole, msikivu,mtulivu,rangi maji ya kunde (mweupe kwa mbali)sio mnene wala mwembamba pia sio mfupi wala mrefu(wastani)

Sifa za mwanaume
Umri kuanzia miaka 36 hadi 45 awe na hofu ya Mungu ,mkweli na mwenye upendo
Awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato, akiwa na mtoto asizidi mmoja, kabila lolote , dini Mkristo ila sio Sabato zaid awe mpambanaji(mtafutaji)Karibu pm tuyajenge niko tayari kuwa mke.
Ugonile
 
Mnama niko hapa niPM
 
Sifa mbili sijazipenda:
1. .....
2. Mtulivu
 
Back
Top Bottom