Natafuta mwanaume wa kunioa

Sifa hizo bila picha, sawa na kuvaa dera ili hali chura haipo
 
Be realistic mrembo. Otherwise ni vizuri ukaanza kujichanganya na watu huko unapoishi.

Maswala tunaoana, alaf tukigombana kidogo tu utasikia "Najuta kutafuta mume mtandaoni"
 
Mmeiona namba tano lakini?
 
Mungu akupe haja ya moyo wako lakini achana na hilo wazo la kufunga ndoa mwaka huu, kuwa makini usiwe na haraka ya namna hiyo haya mambo yanahitaji kwenda nayo taratibu.
 
Umeandika vizuri,Mungu akutanguliea kupata mume mwema...
 
Uwe mzuri tu,hicho ndo kigezo namba moja kwangu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…