last king of uscoch
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 2,728
- 3,980
Manake kigezo kikubwa naona ni hela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kwanini hutongozwi? Kuna tatizo sehemu... Anyways all the best.
Mungu akupe hitaji la moyo wako, bandiko lako limesimama,lol
[emoji3][emoji3] Naendelea kupitia Comments,.Mungu Atakupa hitaji la moyo wako.
View attachment 1746431
Mmeiona namba tano lakini?Kwa alie tayari kwenda kwenye hatua hii.
Najua wengi mtajiuliza kama huko mtaani sikutani na wanaume,kwanza wanaume wapo wengi mtaani lakini kutokana na nature yangu mimi mizunguko yangu huwa ni kwenye shughuli zangu na kurudi home,ninao kutana nao wengi kwanza hawaamini kama nipo single na wengine ni waume za watu hivyo inanipa wakati mgumu naishia kubaki single
Umefika muda nataka kutulia kuwa mke kwa mume na mama wa familia,nitafurahi kama nikipata mtu mwenye interest hizo.Najua kuna wanaume wengi tu wapo tayari kuoa lakini kwenye circle yao hawaoni watu walio tayari kama ilivyo upande wangu
Naomba niweke vitu vya muhimu ambavyo ningependa muhusika awe navyo angalau
Vigezo
1)awe anaishi Dar preferably mikoa mingine long distance relationship ni tatizo,Dar atapewa kipaumbele zaidi
2) Awe na kipato stable cha kumudu familia yake,nikimaanisha kuanzisha familia isiwe mzigo kwake,au mpaka ajipange mtu ninae muongelea hapa ni ameshajipanga kuoa
3) Awe ni mtu ana utu na hofu ya Mungu,mkristu R.C Au K.K.T itapendeza
5) Mrefu asiwe chini ya 170cm
6) Ambae hana mtoto au kama ana mtoto mmoja akizidi mmoja ni changamoto haswa kama kwa mama wawili tofauti
7) Umri miaka 33 kuendelea
8) Awe mtafutaji amechangamka kuna wanaume wapo wamezubaa jamani,mtu anae ridhika na maisha kirahisi itakuwa changamoto maana mimi nipo sharp pia nikipata sharp mwenzangu tutaenda sawa
9) Awe na mpango wa kuoa mwaka huu,mimi si mtu complicated aina ya ndoa just a simple one,kama wote tuna nia moja kila mtu ameamua kutulia naamini inawezekana
Sifa zangu
Ni mrefu,maji ya kunde,umbo la wastani sio mwembamba sio mnene,umri miaka 27
Nimejiajiri
Sina mtoto
Mcheshi kiasi mkimya kiasi
Mengine tutaelewana tukishaongea Mungu akijalia huko PM
Kwani kaka jambazi co ntuDada we jifanye desperate uolewe na jambazi bila kujua..
Shenee angu😀Mungu Atakupa hitaji la moyo wako.
View attachment 1746431