Natafuta mwenza (Mchaga) wa maisha. Ninaishi hapa Dar es Salaam

Mkuu achana kuoa tena kama kaondoka usijitafutie matatizo mengine ya moyo wanawake wana madhaifu mengi sana atatesa hao watoto kwanza most likely utapata singo maza ambae ni veteran wa mapenzi sio rahisi kwa umri huo taja kapata fresh woman.
 
Umesema kweli, hao watoto wajiandae kusulubiwa wanawake asilimia kubwa ni wakatili sana namshauri aishi na watoto wake tu
 
Mkuu
Watu wanakutakia tu kila la heri. Mbona hawasemi kama majimbo yapo😀?
Au wanakuja PM baada ya wishes
 
Mkuu achana kuoa tena kama kaondoka usijitafutie matatizo mengine ya moyo wanawake wana madhaifu mengi sana atatesa hao watoto kwanza most likely utapata singo maza ambae ni veteran wa mapenzi sio rahisi kwa umri huo taja kapata fresh woman.
Yaani umeshauri umekaza utafikiri anaishi kwenye maisha yako, mwenzio kaona ana uhitaji wa kuoa wewe unasema aachane na kuoa, kwani yeye hajui huo umri ni wa maveterans?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…